Makapuku Forum

Makapuku Forum

1952 - Vladmir Putin anazaliwa.

Ni Rais wa 4 wa Urusi. Ni mmoja kati ya viongozi imara wanaoifanya Urusi kuendelea kuwa Imara mpaka sasa.

Alipata kuhudumu katika Jeshi la Urusi na kufikia cheo cha Kanali.

Pia ni moja kati ya majasusi mahiri kuwahi kutokea katika historia ya KGB.

Pia anasifika kwa Martial arts.
IMG_20161007_102501.jpeg
IMG_20161007_102510.jpeg
IMG_20161007_102451.jpeg

Col Putin= Ngao + nyota mbili ukimaliza hapa unaingia Btigedia Jenerali
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom