Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,232
- 39,961
HBD Tony- breath again wimbo niupendao1967 - Toni Braxton anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
HBD Tony- breath again wimbo niupendao1967 - Toni Braxton anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Kifo hakina ujanja...Dikteta! Nae Mwishowe alidanja!!!
Morng vip bro!!Gudi Moningi watu wa Mungu
HBD Dida1973 - Dida anazaliwa.
Ni golikioa wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Brazil.
Inakuwaje brazaMorning all
Hivi K yale meno ni OG???Kazidiwa na Kingunge mwaka mmoja
Ila miaka tofauti mkuuKwanini yalianzishwa tarehe na mwezi mmoja???![]()
Kuna watu wanaroho ngumu hitler mrembo!!Kumbe kuna walioua kuliko Hitler!!!.....

yap.View attachment 413787View attachment 413788View attachment 413789![]()
![]()
Kisha ukajenga "Berlin Great Wall"
.........
Alishawahi kuchukua ubingwa wa dunia kwenye JudoPia ni mwanamichezo na mchezo wake anaoupenda sana ni JUDO
1950 - Jakaya Kikwete anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa awamu ya 4 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alipata kuhudumu katika Jeshi la Wananchi kabla kustaafu kwa cheo cha Luteni Kanali.
We sema tu mall ya kwa wasukuma!!
Yap. Kuna jamaa ameielezea kwa uzuri sana hapahapa JF.View attachment 413807View attachment 413808View attachment 413809
Ni milimani.....wakampata gaidi moja dogo wa Al Qaeda ambaye alikuja kuwa msaada mkubwa kufanikisha kukamatwa kwa Osama kwenye operation EKIA(Enemy Killed In Action)
........
Hii special kwetu..
Miaka 20 sasa. Sisi tuna TBCFox kumbe ya kitambo sana
Mafundi hao!!
Dida wa Yanga ni Mchagga.nilijua DIDA wa Yanga kumbe orijino