Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
1933 - Shirika la ndege la Ufaransa laanzishwa.
Leo katika Historia:
1840 - Willem II anakuwa Mfalme wa Uholanzi.
1919 - Shirika la ndege la Uholanzi KLM laanzishwa rasmi.
Ni moja katiya mashirika makongwe ya ndege ulimwenguni.
[emoji69] [emoji119]oya naomba umuheshimu mpz wng(puli)
Kwanini yalianzishwa tarehe na mwezi mmoja???[emoji15]1933 - Shirika la ndege la Ufaransa laanzishwa.
1919 - Shirika la ndege la Uholanzi KLM laanzishwa rasmi.
Ni moja katiya mashirika makongwe ya ndege ulimwenguni.
View attachment 413787View attachment 4137881949 - Ujerumani Mashariki yaanzishwa.
Ni baada ya kujitenga na Ujerumani Magharibi.
1976 - Hua Guofeng anamrithi Mao ZeDong kama Mwenyekiti mpya wa Chama cha Kikomunisti cha China.
i like that1950 - Jakaya Kikwete anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa awamu ya 4 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
1996 - Chaneli ya Fox yaanza kurusha matangazo yake.
Huyu mukongo nayeAlinitell jana nimsaidie kuyaleta leo
Kwani si kuna PM
..........