Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,272
Hivi kafikisha 66!!!1950 - Jakaya Kikwete anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa awamu ya 4 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alipata kuhudumu katika Jeshi la Wananchi kabla kustaafu kwa cheo cha Luteni Kanali.
