Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
2001 - Vita dhidi ya Ugaidi duniani vyaanza rasmi.
Hii ilitokana na shambulio la September 11, ambapo Marekani ilianza kushambulia kambi za Al Qaeda huko kwenye milima ya Torabora.
Ni milimani.....wakampata gaidi moja dogo wa Al Qaeda ambaye alikuja kuwa msaada mkubwa kufanikisha kukamatwa kwa Osama kwenye operation EKIA(Enemy Killed In Action)
........