Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,269
Mkuu vipNite..
Mkuu vipNite..
Lala salama ili ukueUtaendelea kesho
Siyo mbaya
Mi nalala
USIKU MWEMA
Kwa wote
*************
Kuna siku nlikua naangalia documentary ya usain bolt youtube alionekana kwenye maeneo mengi tu tofauti tofauti...ni noma mkuu jamaica pamechoka mbaya
Lala ukueUsiku mwema makapuku wote
salaaaamaMorning kitabu,za huko
Dikteta! Nae Mwishowe alidanja!!!MADIKTETA WALIOUA WATU WENGI ZAIDI.
1.Mao Zedong;alikuwa kiongozi huko China.Aliuwa watu wanaokadiriwa kufikia milioni 40-60.
![]()
Gudi Moningi Shu!Morning all
Kumbe kuna walioua kuliko Hitler!!!.....samahani kwa kuchelewa.
2.Jozef Stalin;aliwahi kuwa kiongozi wa umoja wa kisovieti kutoka ukraine,aliuwa watu 23 milioni.
![]()
morningGudi Moningi watu wa Mungu