Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mim dio zakayo mkuu, mimi ni jitu la vita nalikwambia jana, au mzee wa kudimamisha jua...Mr. Jo...nadhani hadi hapo na jina umelifahamu wew ni msomi wa bible.
Unajua huyu patience123 nalimwona kitambo nkasikia amani ya ajabu, nkamfuatilia nkajua hadi anaishi wp, nilichokuwa nasubiri ni lile neno..nalithibitishwe na watu wawili,..umethibitisha, naye kathibitishe..ngoja niendelee kuiliza zaidi
Ni sawa mtumishi na usimamie mstari huu wakati unaenda kuomba...YAKOBO 1:6-7 unasema 6 Lakini aombe kwa imani pasipo shaka yo yote; maana mwenye mashaka ni kama wimbi la bahari ambalo husu kumwa na upepo, likitupwa huku na huku.7 Mtu kama huyo asidhani atapata kitu cho chote kutoka kwa Bwana;
 
Aminia sana mtu wangu jamaa ana vi-element vya usonko hivi so pambana kama vile unavyopambana kupata kazi ila baada ya kuipata wewe ni bata mwanzo mwisho..Ila usije tusahau sasa..kaka cheki ninavyokufagilia hapa ili hali hunakitu kabisa.. jambilo
Nauona wivu wako, nami nataka asiye na kitu, nitamtengeneza awe na hadhi ya malkia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom