amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Nini kinaendelea hapa...Mbona mtoto anajimwaya mwaya huku na hadi keshajiita mama mtumishi bana... Patience123
Kiruuuu kibonkyaruwaaa [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Nini kinaendelea hapa...Mbona mtoto anajimwaya mwaya huku na hadi keshajiita mama mtumishi bana... Patience123
Nakusikiliza sasa, fungukaKwanza mimi nina shida kubwa sana naomba msaada.
Mkuu inabidi msimu ujao ununue pantoni.Dar mvua bana hatari sana
Shemeji youngblood soma hii kitu hapo juu..Nipo nae wala msiwe na shaka wakuu
Pole, ila limerudi sasa, tuendelee pale tulipoishia,
Hivi ulishapata ubavu?
Vijana chagueni hivi leo mtakayemtumikia, mimi na patience123 nitamtumikia BwanaUtumishi kamwe hauwekwi pembeni,maana ameweka nadhiri,nitakachofanya ni kuunganisha karama tu,yeyey anakuwa baba mtumishi.na mimi nakuwa mama mtumishi,tukijifungia tunafanya maombi ya nguvu,usimkatishe mtumishi tamaa bhanaa.
peterchoka almaarufu (a.k.a) Ommy Dimpoz wa MAKAPUKU Forum.Hakika tumempata OMMY DIMPOZ wetu hapa.
[emoji15] [emoji15] ushapotea bhana huko ni kwa kina damu changaNipo apa wanapo uza mishkaki ya mmbwa na paka
Tatizo lako umebaki kuuma kidole tu hata wakipita kidole bado umekibakisha mdomoni.... Ebu ondoa sasaNitaandaa barua ya wazi kwa makapuku wa jinsi ya KE, hii hali haiwezi kuendelea kuwa hivi hivi daily.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Puuhahahahaaaaa.....
Mpenzi kwanza pole na kazi naomba nikupokee hand bag kwanza..Ndiyo nikuhadithie yaliyojiri my dear..Vipi tena?????[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Aisee mke wangu amepotea tangu jana,naomba ushauri wako nifanyeje?.Nakusikiliza sasa, funguka
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Msaada wa likes😀😀
Ila hatuuwi.Makapuku uprising! Balaa,mnatisha.
Inaelekea wew kachero, uliomba maana ya majina ukapewa, leo umri, kesho mahali waliko, keshokutwa namba za cm, hee,Tuanze na wewe
We nawe acha kuzuga...hapa si mara zote nakukuta ...toka nje bana[emoji15] [emoji15] ushapotea bhana huko ni kwa kina damu changa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]peterchoka almaarufu (a.k.a) Ommy Dimpoz wa MAKAPUKU Forum.
mkuu mbona huelewi nimekwambia yupo huku namfundisha kilimo bora [emoji35] [emoji35]Aisee mke wangu amepotea tangu jana,naomba ushauri wako nifanyeje?.
Hapa tayari nimevurugwa.
Ooh kumbe sio wewe, samahani mkuuTuanze na wewe