Makapuku Forum

Povu hili



Ila kuwa mpole blood!
 
Nina maanisha kwa wale wanaopenda kuwekeza kwenye ardhi;
Kununua shamba kwa malengo ya kufanya kilimo na ufugaji, kuja kuuza baadae, au kununua viwanja vya kujenga.
Huku wenyeji bado hawajashtuka sana, watu wakuja ndo wanachangamkia fursa sana
Yaah! Huko viwanja wanauza bei rahisi sana..
Mama yangu alinunua heka 5 hapo 2011 na ametugawanyishia wanawe wote.
Mashamba yapo tu hayana kazi.

Nilikuwa nafikiri kuja kulima hapo ila sijajua ni kilimo gani kitalipa ktk mazingira hayo.


Ngoja mkuu nkufwate Pm ili unisaidie hilo jambo kidogo
 
Sehemu gani ninyi shamba lenu lipo
 
Siasa bhana!!! Siasa zimewafarakanisha!
 
Sikuwa serious
Niliongea kiutani
Mfano huwa tunataniana "bwege" n.k

Sorry km nilikukwaza
......................................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…