Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Salama pachaNipo hapa Pacha wangu..uko salama lakini?
Miss you
Salama pachaNipo hapa Pacha wangu..uko salama lakini?
Shukran mamaaView attachment 411801View attachment 411802View attachment 411803
Kwa hisani ya wikileaks sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti.
Naitwa Jimena Jimenes nawatakia siku njema
Adios

Alifiwa na bbake mkubw juzi na jana alienda kuzika tangaVipi kuna nini kimempata Mussolin 5?![]()
Umenena baba...kwanza naanzaje labda kwa mfano kuacha Kf kwenda Jukwaa lingine...Hhmm.. Mimi hapana kwa kweli, hawaniwez ng'o niko fiti.. Hata mama watoto nae hawawez kumteka namlinda 24:7... Pilika pilika tu zilikamata kasi si unajua tena..
!!Kumbe umefiwa? pole sana Mussolin Mungu awape faraja katika Kipindi hiki kigumu.Jamani nashukuru kwa meseji zenu za faraja mlizonitumia, tulizika salama jana jioni.
Morning dadake mieMorning Quigley...
DuhRais wa Uganda, Yoweri Museveni akisalimiana na babake mzazi, Amos Kaguta huko Rwakitura muda mfupi baada ya vikosi vya NRA kuliteka jiji la Kampala 1986. Aliyevaa magwanda ya kijeshi kulia ni mhandisi Winnie Byanyima, ambaye ni mke wa Col.Kiiza Besigye.
View attachment 411849
Sanaaa...hata mimi nina ndoto ya kuwa rais wa Tanzania miaka ijayo...Duh
Maisha safari ndefu
........
InasikitishaKimbunga na tetemeko ni kama makazi yake yapo Haiti
Rais wa wazoa takaSanaaa...hata mimi nina ndoto ya kuwa rais wa Tanzania miaka ijayo...
Mambo toz? uniwie radhi naanzaje kwenda vingongo forumMambo zako Kikofia
Umeosha vyombo?
![]()
![]()
![]()
......
....Makapuku is more than a family aisee! nilikuwa naumwa umwa kidogo ila nimerudi tena kama kawa.Ndio nmeshaosha vyombo, nmeshadeki sasa nafanya hvMambo zako Kikofia
Umeosha vyombo?
![]()
![]()
![]()
......
Morning kitabu family haijambo?za athubuhii???nimepita kulike huko naona nashindwa,hamjambo????
Ameanza niniUmeanza sasa
Tumekuwa tukipishana pishana...sorry kaka ake.Morning dadake mie