Wanajijua,aisee kuna watu ni wachoyo sanakuna makapuku wanatoa like kama vile dawa tubadilike jama ..
Kabisa asee na mtoto anaelekea pazuri kabisa hana shida..akiendelea kuzubaa hili pande fanya kumpigia mbulu
ndo mana uliambiwa yule mtoto mzuri huwezi kutumia bhana,,,ndo biashara gani sasa hii umemfunguliaMkuu hii ni biashara.

Kapuku hapa umeonyesha ubora wako. Kweli kabisa sisi sio mkia. Jamani humu nachart lakini kazi zinaenda...mkiona nimepotea hewani jua narekebisha tu. Asanteni kwa kampani yenuNikiwa kitandani kwangu leo asubuhi nikawa natafakari na kujiuliza "ni nini siri ya mafanikio, nifanye nini nifanikiwe?" majibu ya kufanikiwa nikayapata mulemule room kwangu.
Feni ikaniambia niwe cool nisikurupuke, dali ikaniambia "fikiri juu zaidi", madirisha yakaniambia "tizama nje uone fursa zilizopo ulimwenguni", saa ya ukutani ikaniambia "kila sekunde ina thamani sana katika maisha, muda ni mali."
Kioo kikaniambia "Jitizame na ujiamini kabla hujafanya jambo". Kalenda ikaniambia, "mwaka wako wa mafanikio ndio huu." Mlango ukaniambia "Sukuma kwa nguvu kwa ajili ya malengo yako." Choo kikaniambia "flash tabia zako zote mbaya zinazokufanya uendelee kuwa chini." kitanda kikaniambia "Inuka bwana mkubwa umenilalia vya kutosha nimechoka"
Na nilipokiona kitabu cha dini kikacheka na kuniambia "Nisome mimi kwa ajili ya kuenenda njia zilizonyoka, ili mwovu shetani asikupate."
Nikaamka nikiwa na nguvu mpya pamoja na matumaini mapya!
Mwenyezi Mungu, abariki kazi halali za mikono yetu, sisi ni vichwa na wala si mikia.
Nawatakia siku njema!!
Kiboko "Hippopotamus" au kiboko "fimbo"??Hahahaha wewe ni kiboko
ningechukua arif ila kwa bahati mbaya mm kuna mmoja namlia timingKabisa asee na mtoto anaelekea pazuri kabisa hana shida..
Nasikia peterchoka ni kama dimpoz a.k.a joka la mdimu.Mkuu kuwa makini kwa mke Nahrene, nshamuona peterchoka anammendea.
Maanuuuu!! We jambilo weweAmaizing ukisoma hapa umpuuze hopeconfort anawachonganisha manuu sio msaliti eee
Patience123 manuu kaku recommend kwangu, nakusalimia mkuuNdugu yangu kwanza sintokuahau kwa sala murua uliyomwongoza kwa sasa mpenzi wangu amaizing jana mpka akalegeza moyo ila..wewe ni ndugu yangu bwana sikufichi kitu ebu jaribu kumsalimia Patience123 kidogo..Na maono fulani juu yenu..
Mkuu kula za kutosha hapo..kuna makapuku wanatoa like kama vile dawa tubadilike jama ..
Halishindi langu..kuna watu wanatoana roho kwa ajili ya begi langu orijino. Made from unknown eti.Mkuu haya mabegi ni original yani leather 100%
zinakuwa zaidi ya 5 ila zinaonekana 5 tuKaribu mkuu,huku ni 5 au zaidi.
Hebu nieleze juu ya patience123Ndugu yangu kwanza sintokuahau kwa sala murua uliyomwongoza kwa sasa mpenzi wangu amaizing jana mpka akalegeza moyo ila..wewe ni ndugu yangu bwana sikufichi kitu ebu jaribu kumsalimia Patience123 kidogo..Na maono fulani juu yenu..
ndo mana uliambiwa yule mtoto mzuri huwezi kutumia bhana,,,ndo biashara gani sasa hii umemfungulia![]()
![]()
WerrasonPost zinamwagika tu
Ninaanda list yao na nitaiweka hapa barazani mkuu,Wanajijua,aisee kuna watu ni wachoyo sana
Patience123 please soma hii na muelewe tu huyu ndugu yangu..Patience123 manuu kaku recommend kwangu, nakusalimia mkuu