Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,043
- 12,527
Duh, kikongwe mwenzangu upo hadi huku?Nyie makapuku mnani-tag wenyewe huku halafu makapuku wengine wanajidai kuuuliza, umefuata nini huku" kama vile hii si open forum.
Duh, kikongwe mwenzangu upo hadi huku?Nyie makapuku mnani-tag wenyewe huku halafu makapuku wengine wanajidai kuuuliza, umefuata nini huku" kama vile hii si open forum.
Sema mpendwa niko hapa ntasikia
Sana..we vunga sio mda damu changa ataanza kulia kama beberu
😀😀😀 young njooNyie makapuku mnani-tag wenyewe huku halafu makapuku wengine wanajidai kuuuliza, umefuata nini huku" kama vile hii si open forum.
Kwani huko uliko ni mchana ama usiku?
Atakuwa na hangover ya jana.
Yupo kwenye sayari ya kichina ile inayokaribia kugusana na dunia

Hahah nafikiri lugha hii imekuwa ngumu kwako, yeye na manuu wananielewa sanakwa neno hili wenye wake zenu muwe makini
Tulia sasa mtu wangu usije haribu huoni jamaa anavyokuja..Ha ha ha ha haaaaa....maono yako yana chenga chenga...maana unavyosifia si mchezo.
Nakumbuka barua yangu ilikamatwa na teacher, ilikuwa balaa.View attachment 339154View attachment 339155 makapuku nan anakumbuka enzi hizo akiona hizi picha
Uwe makini na faiza foxy hachelewi kusema...unahorojokaKaribu mama jisikie uko nyumbani.
Tena ingia mpaka chumbani
Daah mkuu ndo umeanza kunifyekea pori au!Mkuu Patience123 ni binti mrembo sana na kuna kila dalili za nyie kutengeneza bonge la couple..
Wow wow wow yaan unaitwa na mrembo unaitika kinyonge hivyo mkuu....Maliza hii mambo chap chap bana...Sema mpendwa niko hapa ntasikia
ndio njoo fasta yule bibi yako kaonekana humu ndaniMkuu umeniita!
Wanajijua wenyewe.
Kwani ninyi ni mtu na nduguye??Wajitokeze kabla sijatumbua majibu.
Naona bibi kikongwe,ngariba wa mangariba, bibie Faiza fox yuko ndani ya nyumba,watu wameanza kutoka nduki.😀😀😀 young njoo
Anataka kuwa mama mtumishi lakini!Mkuu Patience123 ni binti mrembo sana na kuna kila dalili za nyie kutengeneza bonge la couple..
Mkuu yaani ukimwacha apoe huna bahati kabisa macho ni mengi mno kwa Patience123 hata hivyo kafanya uungwana kukusubir mpaka sasa..Daah mkuu ndo umeanza kunifyekea pori au!
Mwambie huyo maanaUwe makini na faiza foxy hachelewi kusema...unahorojoka
Au utasikia *huko shule mmeenda kusomea ujinga*Uwe makini na faiza foxy hachelewi kusema...unahorojoka
Jamani!!! Hii ni devine connection mwambie aseme neno nisikie mpendwaMkuu yaani ukimwacha apoe huna bahati kabisa macho ni mengi mno kwa Patience123 hata hivyo kafanya uungwana kukusubir mpaka sasa..