Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,738
- 12,424
ndo hivyo yaaniKumbe wanatakiwa watushawishi....
ndo hivyo yaaniKumbe wanatakiwa watushawishi....
Hii ni vita mpya inatangazwa hapa..Ila namwamini my dear azinguliwi kirahis asee hapa kafika katuliaaaa amaizingmanuu na youngblood njooni muone jamaa anayoyafanya.
Nimemmisi sana Nahrene jamani,mkimuona huko aliko mwambieni niko hoi.Ohhh!!! Pole sana bado mida yake atajitokeza tu.
Siku hizi mambo yamebadilika beby,tuna"Experience the difference" eti.kumbe hujajua kazi ya kushawishi ni ya eva, tafadhali nishawishi nile tunda
Namuamini Nahrene wangu,nimvumilivu sana.Hahahah kumbe ni rahis sana kupigwa chini youngblood ila nadhan wako na serious relatnshp..Na Shem wangu Nahrene hawezi fanya hivyo..
Mhhh!!!! Unavyomtetea shem wako mimi sisemiiiHahahah kumbe ni rahis sana kupigwa chini youngblood ila nadhan wako na serious relatnshp..Na Shem wangu Nahrene hawezi fanya hivyo..

Usiulize mkuu unazidi kunipa wasiwasi.Nahrene wapi
Hapana,huyo anataka tu mteremko,mnatakiwa m-sweat for sweet.Kumbe wanatakiwa watushawishi....
Huyu nitamtoa kishipa.manuu na youngblood njooni muone jamaa anayoyafanya.
Nimemtuma njiwa wangu ampelekee salamu...amwelezeeeee afahamuuuuu...kuwa unapata tabuuuuuNimemmisi sana Nahrene jamani,mkimuona huko aliko mwambieni niko hoi.
Hapa sasa mtu anajitaftia shida.Hii ni vita mpya inatangazwa hapa..Ila namwamini my dear azinguliwi kirahis asee hapa kafika katuliaaaa amaizing
kama vipi basi bhana, nisije nikafumwa bure naona maongezi yenyewe yashakuwa marefuSiku hizi mambo yamebadilika beby,tuna"Experience the difference" eti.
Atakuwa hamjui mshenga wako mshana jrHuyu nitamtoa kishipa.
Kati ya mashemeji zangu wa ukweli kabisa hapa na yeye yupo so namwamini mno..ila nilishtuka maana toka monie hajatia timu Shemeji yangu hapo hana raha ali chakula wala hanywi maji..Nikajua kuna mahali umemwona labda watu washapita nae..😀😀😀Mhhh!!!! Unavyomtetea shem wako mimi sisemiii![]()
![]()
Amaizing ukisoma hapa umpuuze hopeconfort anawachonganisha manuu sio msaliti eeeNa nani? Usimtaje Liz lakini mana jana alikua kwa manuu