Akishindwa kukushawishi useme, kuna watu wanachangamkia fursa za uwekezaji!
unatamani mwenzako apigwe kibuti.Ni siri ya moyoni mwalimuHayo maono umeonyeshwa nani?
Tatizo fursa mkuu......unatakiwa uchangamkie![]()
![]()
unatamani mwenzako apigwe kibuti.
Kweli binadamu ni wabaya sana
We mbaya sana.Tatizo fursa mkuu......unatakiwa uchangamkie
WatajeBasi humu ndani Shemale wako wengi sana.
.Ndugu yangu jambilo njoo huku basi ili tushiriki wote sala hii na tukiwa tumefumba macho hakikisha unamsogelea kabisa yaani ile akisema ameni we unavalisha pete..
Ngoja niandae somo naweza eleweka hapa.....Maana Mungu ana upendeleo kwa WalimuNi siri ya moyoni mwalimu

sumbai naomba uje hapa usome hii kutoka kwa Patience123 kwamba na yeye amepata maono hayo juu ya jambilo .Nimefumba macho hapa ninaomba na mie nipate maono...Yule uliyekuwa unamtetea nimefunuliwa kuwa anataka kunifanya mchepuko..tushamwagana kitamboo
Wanajijua wenyewe.Wataje
Afu mwambie sumbai kuwa cute b alikuwa anauliza kwani huku hakuna walio single?sumbai naomba uje hapa usome hii kutoka kwa Patience123 kwamba na yeye amepata maono hayo juu ya jambilo .
Kwani huko uliko ni mchana ama usiku?Wapendwa makapuku nawatakia siku njema ni time ya kulala huku kwetu sitimbi ndio mda wa kulala huu
Huenda amepata maono kuwa ninataka kumfanya ATM. Teh tehTatizo sijui ndugu yangu jambilo ana shida gani atokezi kabisa..
Atakuwa na hangover ya jana.Kwani huko uliko ni mchana ama usiku?
Yupo kwenye sayari ya kichina ile inayokaribia kugusana na duniaKwani huko uliko ni mchana ama usiku?
Wajitokeze kabla sijatumbua majibu.Wanajijua wenyewe.
Tafadhari sana naomba usimwage kama maji kwenye ardhi ya kichanga akatikomea zake. Patience123 mambo yote huanza kama mchepuko baadae kona ya ghafla mnamilikiana.Nimefumba macho hapa ninaomba na mie nipate maono...Yule uliyekuwa unamtetea nimefunuliwa kuwa anataka kunifanya mchepuko..tushamwagana kitamboo
Nibiru??teh teh...Yani kwa sababu wamegundua wachina nayo inakuwa ya kichina?..mnaleta rahaaaYupo kwenye sayari ya kichina ile inayokaribia kugusana na dunia