EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Sema PM MAKAPUKU.Makapuku
Sema PM MAKAPUKU.Makapuku
Itakuwa ya kutengeneza hio....Nibiru??teh teh...Yani kwa sababu wamegundua wachina nayo inakuwa ya kichina?..mnaleta rahaaa
huwa naingiliaga na sio kuingiliwaKina nani hao ili tusikuingilie
Naogopa kumuumiza mwanamke mwenzangu eti..maana huyo nikimuweka kwenye kumi na nane zangu hachomoki..si kwa mizizi wala hirizi...bali moyo wake utarizia.Tafadhari sana naomba usimwage kama maji kwenye ardhi ya kichanga akatikomea zake. Patience123 mambo yote huanza kama mchepuko baadae kona ya ghafla mnamilikiana.
Ni kampeni iliyovunja rekodi kuliko kampeni zote zilizowahi kutokea.naona kila comment ninayoiana ina likes 5, duh hii kampeni noma!
Umeambiwa kuna shemale humuhuwa naingiliaga na sio kuingiliwa
Ha ha ha haaaahuwa naingiliaga na sio kuingiliwa
Karibu mkuu,huku ni 5 au zaidi.naona kila comment ninayoiana ina likes 5, duh hii kampeni noma!
hata mimi ndo nashangaa... Mkiniona kimyaHaa Haaaa.....hizi mvua Si zinyeshe kijijini huko kwa kina damtanzania
ndo mana nahrene kakuachia manyoyaMakapuku wenzangu nimeamua kufungua biashara ya kuuza mabegi tupeane support.
![]()

Haya mie siyataki,ninalo langu orijino.Makapuku wenzangu nimeamua kufungua biashara ya kuuza mabegi tupeane support.
![]()
Pole sana mkuu,inabidi msimu ukiisha ukanunue mashua kwaajili ya mwakani.hata mimi ndo nashangaa... Mkiniona kimya
mjue maji yameshanichukua
Pamoja sana kaka.Nafurahi kusikia hili ndugu angu..
Mkuu haya mabegi ni original yani leather 100%Haya mie siyataki,ninalo langu orijino.
Hahahaha wewe ni kibokoNaogopa kumuumiza mwanamke mwenzangu eti..maana huyo nikimuweka kwenye kumi na nane zangu hachomoki..si kwa mizizi wala hirizi...bali moyo wake utarizia.
Mkuu hii ni biashara.ndo mana nahrene kakuachia manyoya![]()
![]()
![]()
![]()