No,yeye alitaka nimshawishi ale tunda langu kama Hawa alivyomshawishi Adam,bt mm nikataka iwe tofauti,Yeye anishawishi mimi.lolUna experience the difference basi kazi anayo ukikuta more sweet utamsimlia au?
Tahadhari kabla ya hatari kuna watu wanatumia kizizi cha mlalo lushoto kule alikotoka Mshana Jr Juzi!!!!Hahaha,usinitishe mkuu.
Na iwe hivyo Shemeji..Usijali shemeji natumai yuko salama.
nikubali basi fasta fasta kabla hajaja mwenzako then tufute hizi convo.Ha ha haaa....niliona kila dalili nikajiongeza lol.
Asante mkuu,tuseme Amen.Nikiwa kitandani kwangu leo asubuhi nikawa natafakari na kujiuliza "ni nini siri ya mafanikio, nifanye nini nifanikiwe?" majibu ya kufanikiwa nikayapata mulemule room kwangu.
Feni ikaniambia niwe cool nisikurupuke, dali ikaniambia "fikiri juu zaidi", madirisha yakaniambia "tizama nje uone fursa zilizopo ulimwenguni", saa ya ukutani ikaniambia "kila sekunde ina thamani sana katika maisha, muda ni mali."
Kioo kikaniambia "Jitizame na ujiamini kabla hujafanya jambo". Kalenda ikaniambia, "mwaka wako wa mafanikio ndio huu." Mlango ukaniambia "Sukuma kwa nguvu kwa ajili ya malengo yako." Choo kikaniambia "flash tabia zako zote mbaya zinazokufanya uendelee kuwa chini." kitanda kikaniambia "Inuka bwana mkubwa umenilalia vya kutosha nimechoka"
Na nilipokiona kitabu cha dini kikacheka na kuniambia "Nisome mimi kwa ajili ya kuenenda njia zilizonyoka, ili mwovu shetani asikupate."
Nikaamka nikiwa na nguvu mpya pamoja na matumaini mapya!
Mwenyezi Mungu, abariki kazi halali za mikono yetu, sisi ni vichwa na wala si mikia.
Nawatakia siku njema!!

Una maono juu ya jambilo na patience?????Ndugu yangu kwanza sintokuahau kwa sala murua uliyomwongoza kwa sasa mpenzi wangu amaizing jana mpka akalegeza moyo ila..wewe ni ndugu yangu bwana sikufichi kitu ebu jaribu kumsalimia Patience123 kidogo..Na maono fulani juu yenu..
Wacha ikimbizwe kama Jet..Noma saaana hii kasi
Mbona jama kama ana element za shemale?Huyu nitamtoa kishipa.
Akishindwa kukushawishi useme, kuna watu wanachangamkia fursa za uwekezaji!No,yeye alitaka nimshawishi ale tunda langu kama Hawa alivyomshawishi Adam,bt mm nikataka iwe tofauti,Yeye anishawishi mimi.lol
Naona umefunuliwa maono..wacha tufumbe macho tuombe.Ndugu yangu kwanza sintokuahau kwa sala murua uliyomwongoza kwa sasa mpenzi wangu amaizing jana mpka akalegeza moyo ila..wewe ni ndugu yangu bwana sikufichi kitu ebu jaribu kumsalimia Patience123 kidogo..Na maono fulani juu yenu..
Kama kawaida ya makapuku.Post zinamwagika tu
Patience123 kabla sijajibu swali hii...Naomba uje useme kitu hapa..Una maono juu ya jambilo na patience?????
Teh teh...ilikuwa niwe mchepuko eti..!nikapata maono ghafla nikajiongeza.Akishindwa kukushawishi useme, kuna watu wanachangamkia fursa za uwekezaji!
Natumaini watashindwa kwa jina la Baba aliye juu.Tahadhari kabla ya hatari kuna watu wanatumia kizizi cha mlalo lushoto kule alikotoka Mshana Jr Juzi!!!!
hata me nimekosa la kumjibu kwa kweli ...Hizo ulizopata zimetoka wapi?
Hayo maono umeonyeshwa nani?Teh teh...ilikuwa niwe mchepuko eti..!nikapata maono ghafla nikajiongeza.
Basi humu ndani Shemale wako wengi sana.Mbona jama kama ana element za shemale?
Nimefumba macho hapa ninaomba na mie nipate maono...Yule uliyekuwa unamtetea nimefunuliwa kuwa anataka kunifanya mchepuko..tushamwagana kitambooPatience123 kabla sijajibu swali hii...Naomba uje useme kitu hapa..