Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Amefanana na Cyrill KamikazeView attachment 408328View attachment 408329
Labda angezaliwa Ulaya
Waafrika noma kwa kughushi umri
.......
Amefanana na Cyrill KamikazeView attachment 408328View attachment 408329
Labda angezaliwa Ulaya
Waafrika noma kwa kughushi umri
.......
Tunazungumzia African footballersNa wewe umegushi umri?
Hivi hii haiwezi kweli kumwambukiza mtu ugonjwa, kama TB
Ni vizuri kupumzika wakati Fulani...Nimerudi tena Mamacita jana nilijipa break kidogo.
Sijajua maana naona zoezi linaenda kiswazi zaidiHivi hii haiwezi kweli kumwambukiza mtu ugonjwa, kama TB
Batigoal na Otega ilikuwa combination nzuri sana ya Argentina
Redondo aliachwa hapo kisa kukataa kunyoa nyweleBatigoal na Otega ilikuwa combination nzuri sana ya Argentina
Batigoal na Otega ilikuwa combination nzuri sana ya Argentina
Aahh.. Nishapoa, naamin kila binadam kaukbiwa matatzo labda ndio nishplay part yangu ya dhiki nasubiri scen e ya faraja..Pole sana aisee

Yah! Hapa kuna wataalam wenye taaluma mbal mbal hvyo tunasaidia kifedha na kimawazo piaKweli KF imekuwa oficially family leo...naona leo mmeamua kufunguka.
Utakiwa umemstir sanaNgoja niende piem nimutumie hela kwa western union!
Niliwapenda sana hawa Jamaa
Nmekupata pia mkuuNyerere alisaidia nchi nyingi za kiafrica, hasa pesa, South Africa, Zimbabwe, Zambia, Namibia, Uganda walipata msaada wa kipesa mkubwa sana,
Sasa pesa hizo kipindi hicho angeamua kuwekeza kwenye Elimu tusingekuwa na watu wasiojua kusoma na kuandika
Vita vya Kagera huwa vinatumiwa tu ili tuamini kuwa vita ni Vibaya