makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,443
- 108,490
Nani huyu!?
Nani huyu!?
Hahaa.. Yawezekana alicheza na 25..Umri wa waafrika hauaminiki
Simuamini BBayaro
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
..........
Pole mkuu..Nmeona nibadilishe mada tu, coz nikizidi kuizungumzia moyo unaumia
Redondo aliachwa hapo kisa kukataa kunyoa nywele
Huwez jua.. Siri za wazaz wetu na muumbaAmefanana na Cyrill Kamikaze
Gabriel batigoal.. A.k.a jesus
FootbalkersTunazungumzia African footbalkers
..........
Hiyo ya kifedha nimeipenda nan ni muweka hazina niingia PM fasta. [emoji3]Yah! Hapa kuna wataalam wenye taaluma mbal mbal hvyo tunasaidia kifedha na kimawazo pia
Kabisa Jonax, Huu ni mwezi mzuri sana kwakoYah! Hapa kuna wataalam wenye taaluma mbal mbal hvyo tunasaidia kifedha na kimawazo pia
Waliutufanya tuamini kufunga magoli ni km kutema mate tuNiliwapenda sana hawa Jamaa
[emoji2] Kwann ni mwezi mzuri sana kwangu?Kabisa Jonax, Huu ni mwezi mzuri sana kwako
Namuona diego simeone.. Mzee wa kukichafua
kweli mkuu huwezi jua..Huwez jua.. Siri za wazaz wetu na muumba
Mie hapa...[emoji23] [emoji23]Hiyo ya kifedha nimeipenda nan ni muweka hazina niingia PM fasta. [emoji3]
Mbona unajishaua kuchekacheka?Footbalkers
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
namuona Diego Simeone
Tangu nimekufahamu kupitia KF kwa mwezi huu umeandika au kusema maneno mengi sana yenye hekima sana, ila tupo pamoja[emoji2] Kwann ni mwezi mzuri sana kwangu?
Sasa hivi bonge la coachernamuona Diego Simeone
Kumbee ndo maana uso unang'ara tu hapo [emoji23][emoji23]Mie hapa...[emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]