Dah.. Hongera kupata support kikeni... Jambo zuri sana, mie upande wa demu walikuwa kama wamenisusia, wakat mwingine usiku demu ananiambia anatimuliwa kwao km hajakubali kuwaleta home.. Simu za vitisho kila mara yaani situlii ukiona simu tu unajua maseke yameanza.. Uchaw dingi kafariki kitambo niko na bimkubwa ilikuwa ngumu kumface, atleast mshua.. Basi nateseka mwenyewe tu.. Shule ikawa ngumu kutia maguu, wale wananitafta hadi mazingura ya xcul.. Demu ananipa michapo tu kuwa unasakwa leo wamepanga kuja shulen kwenu.. Navunga kutia miguu xcul, washkaj wanakuja kuniambia kuwa leo kuna watu fulan walikuwa wanakuulzia, ila uzur niliwaeleza washkaj wakawa wananilinda sana..