Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Hahaa... Acha tu mkuu..
haya nitaachaHahaa... Acha tu mkuu..
haya nitaachaEb tupe yako brieflyTunaweza kuwa sawa sehemu fulani hivi, ni vitu vichache tutapishana
Umenikumbusha mbali sana, pole kikofia kwa wakati huo

Nyerere alisaidia nchi nyingi za kiafrica, hasa pesa, South Africa, Zimbabwe, Zambia, Namibia, Uganda walipata msaada wa kipesa mkubwa sana,Kwanin!!?
Shukran sanaTunaweza kuwa sawa sehemu fulani hivi, ni vitu vichache tutapishana
Umenikumbusha mbali sana, pole kikofia kwa wakati huo
Kikofia buana. 现在,你至少开始学习日语字母,让我们来学习一些基本词汇和简单的日本现在,你至少开始学习日语字母,让我们来现在,你至少开始学习日语字母,让我们来学习一些基本词汇和简单的日本习一些基本 词汇和现在,你至少开始学习日语字母,让我们来学习一些基本词汇和简单的日本现在,你至少开始学习日语字母,让我们来现在,你至少开始学习日语字母,让我们来学习一些基本词汇和简单的日本习一些基本词汇和简单的日本的日本
SIPENDAGI UJINGA MIMI!
Umri wa waafrika hauaminikiJE WAJUA??
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
The Book wa Makapuku kwa msaada wa mtandao.
- Arsenal wanashikilia rekodi ya kuingia kwenye mashindano na wachezaji 11 kutoka mataifa kumi na moja tofauti,kila mchezaji na nchi yake.
- Real Madrid inashikilia rekodi ya kushinda mara nyingi zaidi (11) na rekodi ya kushinda mara 5 mfululizo(1956-1960)
- Barca inashikilia rekodi ya kufika nusu fainali mara sita mfululizo.
- Ni wachezaji wawili tu waliopewa kadi nyekundu katika mchezo wa "fainali",ambao ni Jens Lehman wa Arsenal na Didier Drogba wa Chelsea.
- Benifica inashikilia rekodi ya kushinda magoli mengi zaidi katika mechi mbili dhidi ya Dudelange ambapo ilishinda kwa jumla ya magoli 18-0.
- Mchezaji mkubwa zaidi kucheza UEFA ni Marco Ballorta wa Lazio akiwa na miaka 43.Na mdogo zaidi ni muafrika Celestine Babayaro akiwa na miaka 16.
- Mwaka 1967 Celtic ilivunja rekodi ya kushinda kombe hilo ikiwa na wachezaji wote wazaliwa wa eneo moja(kilomita 50 kutoka uwanja wao wa nyumbani)
- Goli la mapema zaidi ni la Roy Maakay wa Bayern Muchen katika sekunde ya 10.

Niwa kimbizi ndioIna maana hata Palii sisi ni wakimbizi???
Tuko na mbongo weewe!!!
Nmeona nibadilishe mada tu, coz nikizidi kuizungumzia moyo unaumia![]()
![]()
![]()
![]()
We kweli noma.. Nmecheka sana..ungevunga tuu![]()
![]()
![]()
atakuwa kadanganya,ila ni zamani kidogoUmri wa waafrika hauaminiki
Simuamini BBayaro
![]()
![]()
..........
Asante sanaPole kwa matatizo lakin.
Sijivungi hata kusema kuwa natumia kushiNimeona uwazi wako![]()
![]()
![]()
![]()

Mussolin hii imenichekesha sana
Ukweli nao ni wivu, kweli wewe mukongoAcha wivu![]()
![]()
Photoshop hiyoMussolin hii imenichekesha sana
atakuwa kadanganya,ila ni zamani kidogo
Kweli KF imekuwa oficially family leo...naona leo mmeamua kufunguka.Asante sana
Na wewe umegushi umri?View attachment 408328View attachment 408329
Labda angezaliwa Ulaya
Waafrika noma kwa kughushi umri
.......