shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mtata sana huyo Jamaa, aliwahi kumchimba mkwala Davd Beckhamnamuona Diego Simeone
Mtata sana huyo Jamaa, aliwahi kumchimba mkwala Davd Beckhamnamuona Diego Simeone
Tangu nimekufahamu kupitia KF kwa mwezi huu umeandika au kusema maneno mengi sana yenye hekima sana, ila tupo pamoja



Salama tu Nsekwa, hata hi kama hvyo sio mbaya.Habari za mchana, naona speed ni nzuri japo mi netingwa na majukumu mpaka nashindwa kuwa active hata kwa 30% tu
We mtoto usinisumbue.. Tutagawana majengo ya serikali sasa hiv.. Wee uende ukalazwe hosptal mie nikaishie gerezan boya wee..Mbona unajishaua kuchekacheka?
Footballers= football players kuna tatizo?
.........
El cholonamuona Diego Simeone
Asante, nimekumissSalama tu Nsekwa, hata hi kama hvyo sio mbaya.
Pole, ni kawaida mkuu, zamu zamu tu, kila mtu ana majukumu siku akitingwa wengine wapo kuendeleza majukumuHabari za mchana, naona speed ni nzuri japo mi netingwa na majukumu mpaka nashindwa kuwa active hata kwa 30% tu
14Sasa hivi bonge la coacher
Kavaa # ngapi(wengine hawajamgundua)
......
Acha undeziWe mtoto usinisumbue.. Tutagawana majengo ya serikali sasa hiv.. Wee uende ukalazwe hosptal mie nikaishie gerezan boya wee..
Kwan si we mwenyewe umeeandika fiotbalkers sasa footbalkers ni sawa na footballers.. Nyama wee.. Unantukia ndonga mie nikutoe vimeno vyko vya kutabasamia hvyo boya wee
Kuwa active huko au huku??Habari za mchana, naona speed ni nzuri japo mi netingwa na majukumu mpaka nashindwa kuwa active hata kwa 30% tu
Tulia wee mkandika matope.. Kwan typing error iliwekwa ili ukosee kusudi.. Au ukikosea tusikucheke ntakukandamiza konzi mie bila libonyee kama tunda ya ubuyu..Acha undezi
Kiherehere chako tu kwani hakunaga typing error we vipi
Au ndio genius
.......

Asante mkuu, ujue ukikaa muda mrefu ukarudi unakuwa kama mpya, ndio maana kuna jamaa wiki iliyopita aliuliza "humu ndani mnachangia maada gani au ni kukurupuka tu"Pole, ni kawaida mkuu, zamu zamu tu, kila mtu ana majukumu siku akitingwa wengine wapo kuendeleza majukumu
HukuKuwa active huko au huku??
okay welcome backHuku
Pamojaokay welcome back
namba 14Sasa hivi bonge la coacher
Kavaa # ngapi(wengine hawajamgundua)
......
World cup 1998Mtata sana huyo Jamaa, aliwahi kumchimba mkwala Davd Beckham