makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,989
- 104,474
Mbona unaguna!?
Mbona unaguna!?
Weed eeh?Mbona unaguna!?
Demu kipindi yuko mjamzito mpaka anajifungua, wazazi wangu walikuwa hawajui kabisa.. coz niliogopa kusema nikimuhofia baba angu coz alikuwa mkali sana. Hivyo maumivu yaliutesa moyo wangu sana.Uli-solve-je hiyo ishu?
basi kuanzia hapo nikawa napewa opportunities na wazazi ciz walijua tayar nategemewa.. kila ishu ya pesa nikawa naambiwa niifanye mmPoa WerraaShhhhhh![]()
Saana.. Ila kiukweli namshukuru mungu kwa moyo alionipa, huwa napigana na matatzo yangu kimya kimya.. Mtu akija kugundua ananishangaa kabsa jinsi ninavyosolve.. Anaamin angekuwa yeye angekuwa katika hali mbaya zaid.Sema yakijaga unaweza hisi upo peke yako duniani....na theory zote za kuwa shupavu unaona kama tamthilia za kifilipino
Dah.. We acha tu bobHongera, majukumu yalikuwahi asee wakati wa The Book
Pombe nna mpango niache kwa sasa ila nyasi labda nitaacha nikioaMie pombe hapana kabisa.. Nyasi nilichoma..
vungaKabisa, lakini wao na ukimbizi ni Chanda na PeteAahh.. Ajiandae kuwa mkimbizi tu huko madagascar
Mimi vita sikubaliani nayo hata kidogoNaona hii ishu ya vita inaongelewa mnoo..
Nimekuelewa sasa..
Ni kweli, zilimpa ujasiri akiwa kwenye mtihani ashafaulu aziteme!Mwishowe badala ya kirud mkwenye mstar unaanza kuacha mstari..
DuuhPombe nna mpango niache kwa sasa ila nyasi labda nitaacha nikioa


GoodZilinikomaza kiakili zikanifanya no-focus kutafuta mkwanja mpk now mambo yako super
Dah.. Hongera kupata support kikeni... Jambo zuri sana, mie upande wa demu walikuwa kama wamenisusia, wakat mwingine usiku demu ananiambia anatimuliwa kwao km hajakubali kuwaleta home.. Simu za vitisho kila mara yaani situlii ukiona simu tu unajua maseke yameanza.. Uchaw dingi kafariki kitambo niko na bimkubwa ilikuwa ngumu kumface, atleast mshua.. Basi nateseka mwenyewe tu.. Shule ikawa ngumu kutia maguu, wale wananitafta hadi mazingura ya xcul.. Demu ananipa michapo tu kuwa unasakwa leo wamepanga kuja shulen kwenu.. Navunga kutia miguu xcul, washkaj wanakuja kuniambia kuwa leo kuna watu fulan walikuwa wanakuulzia, ila uzur niliwaeleza washkaj wakawa wananilinda sana..Demu kipindi yuko mjamzito mpaka anajifungua, wazazi wangu walikuwa hawajui kabisa.. coz niliogopa kusema nikimuhofia baba angu coz alikuwa mkali sana. Hivyo maumivu yaliutesa moyo wangu sana.
Ila kwa upande wa mwanamke walinisapoti sana na walikuwa wakinipa moyo. Ila baada ya miaka 2 kupita ndo wakaja home kutoa taarifa.
Baba angu alihuzunika sana akisema kuwa unawezaje kuacha kunipa taarifa kwa matatizo makubwa km haya mpk yanakutesa namna hii.
basi kuanzia hapo nikawa napewa opportunities na wazazi ciz walijua tayar nategemewa.. kila ishu ya pesa nikawa naambiwa niifanye mm
Ngoja niishie hapa lakin mambo mengi sana
Antananarivo unataka kwenda kufanya nini sasaWee mimi ako na mbongo hadi naumwa af namiliki jet kama Moise Katumbi![]()
Hahaa... Acha tu mkuu..Pombe nna mpango niache kwa sasa ila nyasi labda nitaacha nikioa
Kwanin!!?Mimi vita sikubaliani nayo hata kidogo