Makapuku Forum

Makapuku Forum

Toka jana nilikuwa nataka nimtahadharishe my love dhidi ya jamaa lakini leo kuna post werrason kaiandika na mpenzi wangu bila kumumunya maneno akamwambia wewe yaelekea unapenda sana kuchepuka chepuka...Nimesikia raha mno..
Nimeiona hiyo. Hata Jana alijifanya ana pesa ili ampe baby wangu. Akajibiwa hizo hela zako peleka kijijini kwenu wana shida sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom