ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
[emoji3] [emoji3] poaHahahahaha sawa mkuu
[emoji3] [emoji3] poaHahahahaha sawa mkuu
Unaona sasa unavyopendelea ningekwambia unipe ile ya ndani kabisa sijui ungenijibu nn natafakari tu mwenyewe hapa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hahaaaa weeeeee youngbloodKweli kabisa lazima uchue tahadhari unawezakuta amazing ni He
Zamu yanguKama kawaida natupia mimi.
Hahaha.Dah!! We acha tu na jinsi avatar inavyoshawishi.....Naomba kwa jina la mahaba anusuru mtima wangu
Dah!! We acha tu na jinsi avatar inavyoshawishi.....Naomba kwa jina la mahaba anusuru mtima wangu
Kama kalambwanda
Swalama mkuu,kwema?Habari zenu makapuku waliojitambua/wasioyumbishwa Afrika Mashariki
Haa Haaaa.....hizi mvua Si zinyeshe kijijini huko kwa kina damtanzaniahata hapa ninapoishi nimelazimika kuletewa mtumbwi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Namshukuru Mungu nimeamka salamaSwalama mkuu,kwema?
Nafarijika sana kusikia hivyo...umeyasikia malalamiko ya shemeji yangu youngblood iko shida pale mpenzi please nenda toa msaada wako pale then unipe mrejesho maana hana raha kabisa...Nimeamka salama baby
Basi muote @lara1Hahaha faiza unataka nyumba isikalike hehe itikadi zetu tofauti
Sawa mkuu karibu tena.Namshukuru Mungu nimeamka salama
Weka picha
Tupo tunapambana na maisha kama kawaida.Natumaini tumeamka salama Makapuku wenzangu.
HALLA! MAKAPUKU
Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mungu azidi kutupa Neema.