YapKikofia unasema ile Mad Max furry eeh?!!
Twin hebu acha kuwa mtu wa fununu. Michael hakuwahi kwishaHuyu nae ataishia kama Michael Jackson
Kuna mambo itakuwa hakuyapenda...wakampa cheo hicho wammalize vizuri.1978 - Papa John Paulo wa Kwanza anafariki.
Ni papa aliyedumu kwa siku 33 tu.
Ni papa aliyetokea Nchini Italy.
Kabla ya kuchaguliwa kuwa Papa alikataa kabisa kudhika wadhifa huo, hivyo alilazimishwa.
Alijulikana kama " The smiling pope "
Kifo chake kinabaki kama moja ya vifo tata kuwahi kutokea Duniani.
Japo ripoti zinasema alikufa kwa ugonjwa wa moyo, lakini kuna wanaoamini Papa alinyamazishwa.
Watu viaz km hawa sijui kwa nn wanazaliwa tz.. Nchi nyingine sijui hawazion waombe wakazaliwe huko!!Anawakosesha raha
Asante MussoLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Magufuli, tukutane tena kesho.
Ile kashfa iliwaondoa watu wengi sana pale Vatican.Na yule mhasibu Robart kavi alikuwa anahusika nafikiri, maana yeye walimuua akiwa London, maana alitoroka kwa siri kutoka Italy mpaka Uingereza
Morng chwt pMorning family...
Sie ndio kwanza tumezindua ndege leoMaendeleo kitambo..
Urefu wake upo kwenye akili yake akiwa dimbaniAndunje valbuena...
Cha msingi ni kumpotezea tu na kusonga mbeleProfesa anaenikatisha tamaa ya kuendelea na shule
Jonax mpigapuli marazote, si mtu wa mchezo mchezo..Ni mwendo wa mbupu tu
Swadakta...Ukizingatia jina lake nila kiratino
Jirani, mpaka Michael anakufa hakuwahi kuchuja hata kidogo, japo white people walikuwa na lengo hiloHuyu nae ataishia kama Michael Jackson
Yani tumepigwa la kushibaGepu linaongezeka siku baada ya siku
Inaonekana ilikuwa hivyo.Kuna mambo itakuwa hakuyapenda...wakampa cheo hicho wammalize vizuri.
pamojaAsante Musso
Nilikuwa namtibu maradhi yake vizur mkuu.. Si unajua tena kitambo..Morning, jirani Vibaya hivyo,
Tangu kaja makaveli hata hatujuliani hali
Dunia ina siri sanaKuna pesa iliibiwa katika benki ya Vatican, kilikuwa ni kiasi kikubwa sana. Na ukumbuke Papa kabla ya kuteuliwa aligoma kushika wadhifa huo, hivyo basi kuna madudu mengi yaliyokuwa yanaendelea aliyafahamu, na alipokubali kuteuliwa kuwa papa alidumu kwa siku 33 kabla ya mauti kumfika.
Kuna wanaoamini alilishwa sumu iliyomuua taratibu. Inabaki kuwa nadharia tu.