MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Safi Kapuku, karibuNiaje ndugu zangu makapuku??
Safi Kapuku, karibuNiaje ndugu zangu makapuku??
You sound kama Unapenda zile makitu sanaTutagoma aisee hahahahaha
leo kafa mgambo mtakomaaaaaTutagoma aisee hahahahaha
Unaweza kuwalipia kodi?Hata 10 naweza mkuu
Huyu kama mpo kwenye vita unahakikisha unamteka akiwa hai hahahahaha
matumizi mabaya ya rasilimali watu
Dogo ana matamanio ya kiutuuzima[emoji4][emoji4]Yule dogo sasa alivyoachia mdomo
Mkuu ukiona kuna mwanaume hapendi ujue kuna tatizo kubwaYou sound kama Unapenda zile makitu sana
Akhsante The book nshakaribiapoa ndugu yetu,karibu jamvini
atakuwa anapiga denda upepo😡Dogo ana matamanio ya kiutuuzima[emoji4][emoji4]
Poa, manzio mzima?Niaje ndugu zangu makapuku??
Hahahahahaleo kafa mgambo mtakomaaaaa
[HASHTAG]#NiHatari[/HASHTAG][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Afu lile genda heka linalomtisha sweetiepie bado linatokea kwenye like zako [emoji4][emoji13]poa ndugu yetu,karibu jamvini
Ukifanya kosa adhabu yako inabidi ukatwe huko chiniMimi ni mmoja wao hahahahaha
Sasa hapo si ni utarabu wa bureUnaweza kuwalipia kodi?
si ndo limimi nimebadili jinaAfu lile genda heka linalomtisha sweetiepie bado linatokea kwenye like zako [emoji4][emoji13]
Kweli mkuumatumizi mabaya ya rasilimali watu
Hivi hilo jeshi halijaona wenye sura za kufanana na baba zao?? Ndo nini sasa kupeleka watoto wazuri namna hii huko... Aisee huu ni upotevu wa rasilimali[emoji41] [emoji4]