MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
HahahahahaHaha mbona nimekunong'oneza, hawawezi kusikia
HahahahahaHaha mbona nimekunong'oneza, hawawezi kusikia
Wala haitaji kupunguziwa toka kwako anazo za kutosha tunimpunguzie likes
Sometimes yes sometimes NoHivi huyo Steven makonda ana undugu na Paul makonda?
Tena hao ndiyo hatari maana wanatembea na wake za watu na masistaMapadri wanaishije sasa
Si kuna masista? [emoji4][emoji125][emoji125][emoji125] ...... kiddingMapadri wanaishije sasa
% kubwa masista hawana soko (mvuto)Tena hao ndiyo hatari maana wanatembea na wake za watu na masista
Acha undezi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] we unaweza kumpeleka demu wako mzuri kama huyo jeshi?![]()
Acha ubaguzi we mnywa virober
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Tena maafande watamuinamisha sanaAcha undezi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] we unaweza kumpeleka demu wako mzuri kama huyo jeshi?
Halafu itaonekana kila posti yako moja anapata likes 4, aisee kweli utavunja rekodi nyinginemakapuku mimi mwenzenu nitavunja rekodi,kwanza kuwa expert member ndani ya siku moja pia kupata likes BUKU...sisi si watu wa mchezomchezo...GO KF
Kafute reply zako kule kwenye ule Uzi kuhusu KF kufikisha views million.....sisi mambo yetu ni kimyakimya hatujibishani na watu hata watukashifu coz ni kuwapa kiki tumakapuku mimi mwenzenu nitavunja rekodi,kwanza kuwa expert member ndani ya siku moja pia kupata likes BUKU...sisi si watu wa mchezomchezo...GO KF
MmmhTena maafande watamuinamisha sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Ndio moja ya faida za KF, unakuja maskini wa post na likes ukiamka asubuhi likes zimejaa mpaka unatamani zingekua zinauzwa [emoji4][emoji4]makapuku mimi mwenzenu nitavunja rekodi,kwanza kuwa expert member ndani ya siku moja pia kupata likes BUKU...sisi si watu wa mchezomchezo...GO KF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akina mura wale watafyatua mpaka basiTena maafande watamuinamisha sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Zingekuwa zinauzwa watu wote wangekuwa wanakesha MFNdio moja ya faida za KF, unakuja maskini wa post na likes ukiamka asubuhi likes zimejaa mpaka unatamani zingekua zinauzwa [emoji4][emoji4]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] jonax ndo ushapiga mibange yako sio?TAHADHARI KWAKO WEWE NA HII HABARI ILOYO FIKA HIVI PUNDE.
TAFADHARI SOMA KWA MAKINI NA MJULISHE MWENZIO
Jana katika sehemu ya kuifaizia wanyama DAR ES SALAAM ZOO ilitangazwa kuwa ametokea nyoka..
Hatari sana Ambaye hajawahi kutokea duniani. wanadai kwamba nyoka huyo anaongezeka
Urefu wa 1.5sm kila akila chakula na huwa anakula chakula kuanzia sekunde 20 kurudi nyuma.
mpaka sasa hakuna siraha ya kuweza kumua nyoka huyo isipokuwa akijiumaa mwenyewe ndo anaweza kufa.
Wanasayasi hao walieeleza japo uchunguzi zaid bado Unaendelea........
Huyu ninyoka anayeua kuliko nyoka wote waliowah kutokea huyu hupatikana katika simu
Pekee za nokia toch katika sehemu ya game inaitwa Sneke senzia.....
Asante kwa umakini mkubwa katika usomaji wa taarifa muhimu!!!!!!!![emoji23][emoji1][emoji12]