Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Hahahahahah, ili usile kibudu et eehHuyu kama mpo kwenye vita unahakikisha unamteka akiwa hai hahahahaha
Hahahahahah, ili usile kibudu et eehHuyu kama mpo kwenye vita unahakikisha unamteka akiwa hai hahahahaha
Thenksi kapuku, kwema lakini?Safi Kapuku, karibu
Huyu kama mpo kwenye vita unahakikisha unamteka akiwa hai hahahahaha
Huyu kama mpo kwenye vita unahakikisha unamteka akiwa hai hahahahaha



alafu kinachofata ni mateso bila chukiShwari mkuuThenksi kapuku, kwema lakini?
Kweli mkuumatumizi mabaya ya rasilimali watu
Sema polepole wasije kusikia mama zangualafu kinachofata ni mateso bila chuki
Ni buheri kabisa wa afyaPoa, manzio mzima?
HahahahahaHahahahahah, ili usile kibudu et eeh
matumizi mabaya ya rasilimali watu
Hahaha ebu fanya namna hata uongee na mods walitoe kwenye like mana bado litamtisha sweetiepiesi ndo limimi nimebadili jina
nimpunguzie likesHahaha ebu fanya namna hata uongee na mods walitoe kwenye like mana bado litamtisha sweetiepie
Haha mbona nimekunong'oneza, hawawezi kusikiaSema polepole wasije kusikia mama zangu
kimenukaa
Hivi hilo jeshi halijaona wenye sura za kufanana na baba zao?? Ndo nini sasa kupeleka watoto wazuri namna hii huko... Aisee huu ni upotevu wa rasilimali![]()
![]()
Labda kwa mmoja sio wote .10Sasa hapo si ni utarabu wa bure
Hivi huyo Steven makonda ana undugu na Paul makonda?
Mapadri wanaishije sasaMkuu ukiona kuna mwanaume hapendi ujue kuna tatizo kubwa