Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Neither also
Neither also
Hahahahaha kweli wewe hupendi ujingaNilienda na bebi wangu Hotelini,nikamwambia agiza chakula..
bhasi ikabidi nimuagizie whisky,baada ya kunywa kidogo akatapika makande,ikabidi nimuulize romanticaly...
- aka beb nyumbani nimekula "kuku"
Sitkagi ujinga mimi
- Bebi ni kweli umekula "kuku" au umekula "chakula cha kuku"?
The Book wa Makapuku
Labda Jimena Jimenes de bristol atakuamini lakini sio mimi hahahahahaniamini
Hata 10 naweza mkuuWewe unaweza hata watano tu kwa wakati mmoja?
Tutagoma aisee hahahahahamaamuzi ya wazee ni kwamba hakuna mazishi tena watu mrudi kwenuuuuu
Wengine wanampenda kujikweza sana mwisho wake aibuHahahahahahaha ha ha, HUYO MANZI NI MBWIGA
Mimi ni mmoja wao hahahahahaNadhani kuna pipoz watazimia hapo
Hahahahaha huyo anafanya biashara ya papuchijana nimemtumia demu nauli aje gheto hakuja,leo ananiambia kuwa anakuja ila kasahau laini ya voda yenye hela niliyomtumia hivyo nimtumie tena kwa tigo-pesa,
kwa makusudi nikamtumia kwanye voda kulekule na kuongeza na meseji "vipi nikuongeze sh. ngapi??
mara ujumbe huooo "elfu 20 tu my"
Ikabidi nimsevu kwa jina la POGBA sipendagi ujinga mimi.
Abunuasi Aliingia Kwa Kinyozi Na
Mtoto,
Akasema Anyolewe Nywele Na Ndevu
Alipomaliza Akasema Na Mtoto Naye Anyolewe,
Wakati Mtoto Ananyolewa Yeye
Akaaga Anaenda
Kumnunulia Mtoto Juisi,
Masaa 3 Yakapita Bila Abunuasi
Kutokea Kinyozi Akamwambia Dogo "Vipi Baba Ako
Amekusahau?"
Mtoto"Yule Sio Baba Angu Alinikuta
Njiani Akaniambia
Tuingie Hapa Tunyolewe Bure."

ngoja aje nimuulizeLabda Jimena Jimenes de bristol atakuamini lakini sio mimi hahahahaha
pogba wa mapenzi,dau kuuuuubwaHahahahaha huyo anafanya biashara ya papuchi
poa ndugu yetu,karibu jamviniNiaje ndugu zangu makapuku??
Hahahaha sasa kama wanijua vizuri mbona waanitilia shaka?Basi atakuwa kibaka au tapeli...
Ila muulize vzur briz kama hana mtoto wa nje ya ndoa.. Japo mie namjua vzur rafk yangu tumekuwa pamoja tumesoma pamoja.. Ila muulze tu kupata uthibitisho..
Niaje ndugu zangu makapuku??