Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
ningemwambia mi mgeni hapa ebu nieleze vizuriUngekua yule dogo ungejibuje?
ningemwambia mi mgeni hapa ebu nieleze vizuriUngekua yule dogo ungejibuje?
mkuu acha wivuTumwachie awafyatue peke yake hapana sikubaliani hahahahaha
Hahahahahaa Ngoja aje tumuulizeTumwachie awafyatue peke yake hapana sikubaliani hahahahaha
Ila abunu alitoka na gia ya hatar sanaaningemwambia mi mgeni hapa ebu nieleze vizuri
Sasa sisi tutapataje nafasi ya kufyatua watoto hahahahahamkuu acha wivu
huyu mzeee hatakagi ujingaIla abunu alitoka na gia ya hatar sanaa
mimi hayo mambo baaado kabithaaaSasa sisi tutapataje nafasi ya kufyatua watoto hahahahaha
Yaani hapo mnaomba wanaume muwe wachache ili mufyatue as many as possible hahahahahaKama idadi haikubalance hapo ndo balaa sasa
Mmmmh wewe huaminikimimi hayo mambo baaado kabithaaa
niaminiMmmmh wewe huaminiki
Wewe unaweza hata watano tu kwa wakati mmoja?Yaani hapo mnaomba wanaume muwe wachache ili mufyatue as many as possible hahahahaha
maamuzi ya wazee ni kwamba hakuna mazishi tena watu mrudi kwenuuuuuWewe unaweza hata watano tu kwa wakati mmoja?
Hahahahahahaha ha ha, HUYO MANZI NI MBWIGANilienda na bebi wangu Hotelini,nikamwambia agiza chakula..
bhasi ikabidi nimuagizie whisky,baada ya kunywa kidogo akatapika makande,ikabidi nimuulize romanticaly...
- aka beb nyumbani nimekula "kuku"
Sitkagi ujinga mimi
- Bebi ni kweli umekula "kuku" au umekula "chakula cha kuku"?
The Book wa Makapuku
Nadhani kuna pipoz watazimia hapomaamuzi ya wazee ni kwamba hakuna mazishi tena watu mrudi kwenuuuuu
haah haaHahahahahahaha ha ha, HUYO MANZI NI MBWIGA
Ufafanuzi kuhusu simu aliyopokea refa tafadhaliUsiyoyajua kuhusu Mpira wa Miguu!!
- Mwanasoka wa brazil,"Pele" alipewa jina hilo la utani lenye maana ya "miguu sita" kwa kuwa alikuwa na vidole sita miguuni.
- Mnamo mwaka 1964 simu aliyopokea refa uwanjani huko nchini peru ilisababisha vifo vya watu 300 kutokana na vurugu.
- Katika kombe la dunia mwaka 1950 timu ya taifa ya india ilitaka kucheza peku lakini FIFA wakagoma,timu hiyo ilisusia mashindano.
The Book,kwa msaada wa mtandao.
- Pele alipokwenda nigeria kucheza soka katika mechi ya ngao ya hisani,pande 2 zilizokuwa zinapigana vita zilikubaliana kusitisha vita hiyo kwa masaa 48.
hapo zamani za kale refa hakuwa smart kama sasa yaani anaweza kuingia na simu uwanjani,hivyo wakati mechi inaendelea yeye akaanza kuongea na simu,vurugu zikaanzia hapoUfafanuzi kuhusu simu aliyopokea refa tafadhali
Je wajua kuwa "THE AREA BETWEEN YOUR EYEBROWS IS CALLED "GLABELLA""
Kwa Leo niishie hapo.....kwa udhamini wa makapuku wotee
