Makapuku Forum

Makapuku Forum

1966 - Uche Okechukwu anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa Nigeria .

Alikuwepo kwenye kikosi cha Nigeria kilichotwaa medali ya dhahabu katika michuano ya Olimpiki ya majira ya kiangazi pale Jijini Atalanta, Nchini Marekani.
Jina lake ni[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] kiafrika zaidi
 
Leo Katika Historia Orijino:

Ni siku ya Kimataifa ya Utalii.
IMG_20160927_083349.jpeg
IMG_20160927_083338.jpeg
 
1976 - Francesco Totti anazaliwa.

Ni kepteni wa Klabu ya A.S Roma ya Nchini Italia.

Alikuwa ni sehemu ya kikosi cha Timu ya Taifa ya Italy kilichotwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia la Mwaka 2006 pale Ujerumani.

Anachukuliwa kama mchezaji bora wa wakati wote katika klabu ya Roma, kwani amechezea klabu hiyo hiyo tu na wala hajawahi kuhama.

Wanasema baada Papa, anayefata kwa Umaarufu ndani ya Jiji la Roma ni Francesco Totti.

Pia hujulikana kama, " El Capitano De La Roma. "
 
Back
Top Bottom