Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Utasubiri sanaaakichagua mi naweka manfongo
Utasubiri sanaaakichagua mi naweka manfongo
http://www.youtube.com/boyceavenueKabisa.... Halafu sasa hunidediketii wimbo jamani??
Afu video imenigomea em nipe maujanjaNi shiida
Nite nite makapuku wote mlale unono. Kesho nina kazi ya kukati visiki afande hanipendi ananionea. Bye. nimechelewa sasa saa nne karibu mwe.

Nite!Nite nite makapuku wote mlale unono. Kesho nina kazi ya kukati visiki afande hanipendi ananionea. Bye. nimechelewa sasa saa nne karibu mwe.
Naanzaje kuacha kumdoea pacha kuangalia muziki mtamu kama huo wa Bryan Mcknight....duuhhttp://www.youtube.com/boyceavenue
Nilikua naiskiza hapa jirani sa ivi ngoja tuskie wote
Vipi umeshaisoma hii riwaya? https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17552026 yani ni ya ukwel ile sanaUtasubiri sanaa
Gendaheka umebadil hadi Username??...sikiliza salome alaah hujaniuliza mimi
Nite japo bado ni mchana kabisaNite nite makapuku wote mlale unono. Kesho nina kazi ya kukati visiki afande hanipendi ananionea. Bye. nimechelewa sasa saa nne karibu mwe.
Sasa unalia lia nini?
Nilitaka kutupia kavideo sasa nikajikuta nafeliNaanzaje kuacha kumdoea pacha kuangalia muziki mtamu kama huo wa Bryan Mcknight....duuh
Nani kalia?Sasa unalia lia nini?
Subirini tutakachowafanya week ijayo
Awww asante sanahttp://www.youtube.com/boyceavenue
Nilikua naiskiza hapa jirani sa ivi ngoja tuskie wote
Uwe kwanza unashare sehemu nyingine mfano what's app halafu kutoka pale ndo uilete hapa ndo kila kitu kitakuwa just perfectAfu video imenigomea em nipe maujanja