Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 7,043 Reaction score 12,527 Apr 16, 2016 #11,061 Kibajajitz said: Hehehehe bitoz nipe utaalamu kidogo sasa nina 45 lakini sina hata mrembo hivi ninaweza kuwa na gundu ama?? Click to expand... Tena ile ya kutupiwa briz said: Umrmshauri vema kabisa Click to expand... mkuu upo salama?
Kibajajitz said: Hehehehe bitoz nipe utaalamu kidogo sasa nina 45 lakini sina hata mrembo hivi ninaweza kuwa na gundu ama?? Click to expand... Tena ile ya kutupiwa briz said: Umrmshauri vema kabisa Click to expand... mkuu upo salama?
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,045 Apr 16, 2016 #11,062 briz said: Si naona jinsi mnavyotumia muda mwingi kujihami na watu wanaowa-attack kuliko kuenjoy na hao sugarz wenu!! Click to expand... Hahaha hiyo kawaida tu,ni kama wewe unavyotumia nguvu nyingi kutafuta.
briz said: Si naona jinsi mnavyotumia muda mwingi kujihami na watu wanaowa-attack kuliko kuenjoy na hao sugarz wenu!! Click to expand... Hahaha hiyo kawaida tu,ni kama wewe unavyotumia nguvu nyingi kutafuta.
lizziebettie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 2,873 Reaction score 11,966 Apr 16, 2016 #11,063 Th Name said: Makapuku, baadae kidogo. We are on our way to Bagamoyo with my sweetie Click to expand... Bye guys!
Th Name said: Makapuku, baadae kidogo. We are on our way to Bagamoyo with my sweetie Click to expand... Bye guys!
HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,926 Reaction score 6,669 Apr 16, 2016 #11,064 youngblood said: Mkuu ndoa yetu iko salama kabisa chini ya mtaalamu Mshana Jr. Click to expand... Wataalam tena!!! Nakupa siku moja tu wewe kesho utamkuta liz kwa sumbai
youngblood said: Mkuu ndoa yetu iko salama kabisa chini ya mtaalamu Mshana Jr. Click to expand... Wataalam tena!!! Nakupa siku moja tu wewe kesho utamkuta liz kwa sumbai
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 16, 2016 #11,065 Kirchhoff said: Tumetoka karibu tumefika mbali Click to expand... Jina lako gumu.
Patience123 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2013 Posts 5,092 Reaction score 8,786 Apr 16, 2016 #11,066 Th Name said: Makapuku, baadae kidogo. We are on our way to Bagamoyo with my sweetie Click to expand... Naomba kuunga tela...chakula na kinywaji nitajihudumia...
Th Name said: Makapuku, baadae kidogo. We are on our way to Bagamoyo with my sweetie Click to expand... Naomba kuunga tela...chakula na kinywaji nitajihudumia...
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,045 Apr 16, 2016 #11,067 lizziebettie said: Bye guys! Click to expand... Hiyo itakuwa Bwagamoyo
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Apr 16, 2016 #11,068 youngblood said: Hahaha hiyo kawaida tu,ni kama wewe unavyotumia nguvu nyingi kutafuta. Click to expand... Hahaaa mi situmii nguvu zangu bure bro ndo mana nasubiria njuka mpya kabisa huku makapukuni
youngblood said: Hahaha hiyo kawaida tu,ni kama wewe unavyotumia nguvu nyingi kutafuta. Click to expand... Hahaaa mi situmii nguvu zangu bure bro ndo mana nasubiria njuka mpya kabisa huku makapukuni
lizziebettie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 2,873 Reaction score 11,966 Apr 16, 2016 #11,069 youngblood said: Hiyo itakuwa Bwagamoyo Click to expand... Wivu tu.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,045 Apr 16, 2016 #11,070 EMMYGUY said: Jina lako gumu. Click to expand... Huyu mtu jina litamsumbua sana.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,045 Apr 16, 2016 #11,071 lizziebettie said: Wivu tu. Click to expand... ila natamani!
lizziebettie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 2,873 Reaction score 11,966 Apr 16, 2016 #11,072 HOPECOMFORT said: Wataalam tena!!! Nakupa siku moja tu wewe kesho utamkuta liz kwa sumbai Click to expand... Ww ni mchawi
HOPECOMFORT said: Wataalam tena!!! Nakupa siku moja tu wewe kesho utamkuta liz kwa sumbai Click to expand... Ww ni mchawi
HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,926 Reaction score 6,669 Apr 16, 2016 #11,073 briz said: Si naona jinsi mnavyotumia muda mwingi kujihami na watu wanaowa-attack kuliko kuenjoy na hao sugarz wenu!! Click to expand... We ukimpata wako jifungieni ndani na simu ziwe marufuku.. Marafiki mkutane nao kwa msimu.. Baasi
briz said: Si naona jinsi mnavyotumia muda mwingi kujihami na watu wanaowa-attack kuliko kuenjoy na hao sugarz wenu!! Click to expand... We ukimpata wako jifungieni ndani na simu ziwe marufuku.. Marafiki mkutane nao kwa msimu.. Baasi
lizziebettie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 2,873 Reaction score 11,966 Apr 16, 2016 #11,074 youngblood said: ila natamani! Click to expand... sijui tukukaribishe,
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,045 Apr 16, 2016 #11,075 briz said: Hahaaa mi situmii nguvu zangu bure bro ndo mana nasubiria njuka mpya kabisa huku makapukuni Click to expand... Utasubiri sana,wewe mawindo huwezi.
briz said: Hahaaa mi situmii nguvu zangu bure bro ndo mana nasubiria njuka mpya kabisa huku makapukuni Click to expand... Utasubiri sana,wewe mawindo huwezi.
HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,926 Reaction score 6,669 Apr 16, 2016 #11,076 youngblood said: Wakuu naomba tupate tea break Click to expand... Kweli aisee lakini tatizo ni namna ya kuweka simu chini.. Nimejaribu nimeshindwa
youngblood said: Wakuu naomba tupate tea break Click to expand... Kweli aisee lakini tatizo ni namna ya kuweka simu chini.. Nimejaribu nimeshindwa
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Apr 16, 2016 #11,077 lizziebettie said: Bye guys! Click to expand... Nitaomba mrejesho wa mtakapofikia ili na mi nikipata wangu nisisumbuke sana ntakapokuja huko bwagamoyo..
lizziebettie said: Bye guys! Click to expand... Nitaomba mrejesho wa mtakapofikia ili na mi nikipata wangu nisisumbuke sana ntakapokuja huko bwagamoyo..
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Apr 16, 2016 #11,078 Patience123 said: Naomba kuunga tela...chakula na kinywaji nitajihudumia... Click to expand... Kula moshi tu. Umeachwa na gari wewe
Patience123 said: Naomba kuunga tela...chakula na kinywaji nitajihudumia... Click to expand... Kula moshi tu. Umeachwa na gari wewe
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,939 Reaction score 8,883 Apr 16, 2016 #11,079 EMMYGUY said: Jina lako gumu. Click to expand... Mkuu njoo tupige "cha Arusha" Na baridi hii litakuwa rahisi
EMMYGUY said: Jina lako gumu. Click to expand... Mkuu njoo tupige "cha Arusha" Na baridi hii litakuwa rahisi
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 16, 2016 #11,080 HOPECOMFORT said: Swalamaa Click to expand... Salama kabisa Mkuu.