Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,036
wana kamsemo kao utasikia eti matokeo ya BRN!!Mtu ukitoa mchango kumchallenge mkongwe utasikia vimaneno vya kejeri kama "mtu mwenyewe umejiunga feb 2016" au "senior member".....kama mtu kajiunga feb 2016 hana haki ya kuchangia?!😱 au senior member hana haki ya kuchangia😱