ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Mkuu umekesha wapi?Sasa ni zamu yangu kulala nimewalindia vya kutosha like zenu zamu yenu sasa.nani nimuote ????
Mkuu umekesha wapi?Sasa ni zamu yangu kulala nimewalindia vya kutosha like zenu zamu yenu sasa.nani nimuote ????
Kwema ila baridi ni Kali sanaaaaaNzuri...
Nyanda za juu kusini kwema?
Hapa hapa nilikuwa nawalindia like zenu mkuu niite afande manyotaMkuu umekesha wapi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] asate mkuu,alafu mbona jina bado hujabadilisha.Hapa hapa nilikuwa nawalindia like zenu mkuu niite afande manyota
Hahaha unatafuta ugomvi na mtu.unataka aniroge nikilala nilale moja kwa moja enheeMuote Jimena
Hahahaaa hukuangalia vizuri huenda alikuwa bar med akinihudumia.Yule mwingine niliyekukuta naye pale bar siye wako?
hata hapa ninapoishi nimelazimika kuletewa mtumbwi
Bado natafuta jina la kuwa vutia warembo wakapuku forum[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwaka huu na mimi nataka nipate mutoto[emoji3] [emoji3] [emoji3] asate mkuu,alafu mbona jina bado hujabadilisha.
nilikuwa kule kwenye kubishanaNan alikuwa amekuficha?
Vipi unahisi ushatia mimba wangapi tangu baridi lianzeKwa hii mvua inayonyesha, mpaka kuja kuisha nadhani mimba zitakuwa nyingi kupindukia
Mkuu jina halina shida,tatizo swaga.Bado natafuta jina la kuwa vutia warembo wakapuku forum[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwaka huu na mimi nataka nipate mutoto
Ha ha ha hapo sawaHahahaaa hukuangalia vizuri huenda alikuwa bar med akinihudumia.
unadhani ulivyoninyima ww na wengine hawanipi... Hapa hapa jukwaani nishapata watatuVipi unahisi ushatia mimba wangapi tangu baridi lianze
Hahaha faiza unataka nyumba isikalike hehe itikadi zetu tofautiMuote bibi FaizaFoxy.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]kubwa la mangariba.Muote bibi FaizaFoxy.
Tatizo mie ni kizee swaga sina kabisa naomba ufungue darasa la swaga nipate mautalamuMkuu jina halina shida,tatizo swaga.
Mbona mimi youngblood** sibadilishi!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mkuu, chaguo zuri sana hili.