Makapuku Forum

Makapuku Forum

Uyasemayo ni kweli kabisa.
KAPUKU wote sasa tumekuwa masuperstar..
Kila member hapa anatufahamu ipasavyo, hvyo wanatuonea wivu
Sisi tupo juu
Hatuhitaji kingongo chochote ili thread iendelee kutamba
Kila siku wapya wanaibuka na kuja na swaga mpya mfano nani alikuwa anamjua sajo? Hakuna
Lakini KF imemtoa si unajua inasomwa na watu wengi(wamesubsribe)....lazima wanajua mikwara ya huyo mjeda MP

................
 
Hajambo ila ameanza kujitambua hampendi kabisa malaika mpendasifa asiyejaribiwa
Nasikia karudi school kumaliza darasa la saba
1474697694771.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom