Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sisi tupo juu
Hatuhitaji kingongo chochote ili thread iendelee kutamba
Kila siku wapya wanaibuka na kuja na swaga mpya mfano nani alikuwa anamjua sajo? Hakuna
Lakini KF imemtoa si unajua inasomwa na watu wengi(wamesubsribe)....lazima wanajua mikwara ya huyo mjeda MP

................
sacajo kabla hajatimba hapa, niliwahi kubishana naye sana kwenye thread yangu moja hv uchwara
 
Sisi tupo juu
Hatuhitaji kingongo chochote ili thread iendelee kutamba
Kila siku wapya wanaibuka na kuja na swaga mpya mfano nani alikuwa anamjua sajo? Hakuna
Lakini KF imemtoa si unajua inasomwa na watu wengi(wamesubsribe)....lazima wanajua mikwara ya huyo mjeda MP

................
Shemasi sacajo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom