shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Jana nilikuwepo hapaJana na wewe uliadimika nikahisi uko busy na kazi
Jana nilikuwepo hapaJana na wewe uliadimika nikahisi uko busy na kazi
Morning SweetieMorning Nsekwa
Moningi mama mdogoDaah
Morning mzee wa Kitwanga
Ulikuwa umejificha?Jana nilikuwepo hapa
Amini msiamini mimi nimebase sana K/f kuliko jukwaa lingine lolote humu JF...huwa naendaga kuchungulia story z uongo na kweli MMU siku moja moja sanaa....Polifix ndio sitaki hata kuingia linanipa stress tu PambafLakini KF imewaunganisha
Halafu siku hizi huhitaji ht kutoa thread ili ufahamike
Ni kufanya mambo tu kupitia KF(Thread inayofuatiliwa zaidi)
![]()
![]()
![]()
![]()
.....................
HaaaahaaaaHuyo Sokomoko mnywa gongo na virober siyo bia & whisky
![]()
![]()
![]()
..........

Uko poa eeh?Morning Sweetie
Hahahaa.....hope umeamka salama ndio unelekea kuboost tena mida hii au?Moningi mama mdogo
I am fine kakaHow are you sweetie!
HapanaUlikuwa umejificha?
Itakuwa hivyo aiseeHahahaa.....hope umeamka salama ndio unelekea kuboost tena mida hii au?
Yaani mi nimeshashindwa jirani huyu kitwanga anataka kunipeleka level ambazo sijafika



Inabidi ukubaliane naye tu hivyo hivyo, maana hamna namna nyingine sasaYaani mi nimeshashindwa jirani huyu kitwanga anataka kunipeleka level ambazo sijafika![]()
MMU ndo jukwaa linaloongoza kwa story za uongo nimelishit siku nyingi kuchangia ushauri...nasomaga tuAmini msiamini mimi nimebase sana K/f kuliko jukwaa lingine lolote humu JF...huwa naendaga kuchungulia story z uongo na kweli MMU siku moja moja sanaa....Polifix ndio sitaki hata kuingia linanipa stress tu Pambaf
Khaaa! si mara mia niendeko kwenye Jukwaa la utanashati na fasheni na mimi nijuepo kutupia...kuliko Bullshits! inaboa unatoa ushauri kumbe jitu limetunga story..MMU ndo jukwaa linaloongoza kwa story za uongo nimelishit siku nyingi kuchangia ushauri...nasomaga tu
Polifix ndo jukwaa linaloongoza kwa kuboa
........
Naenda kapata supu mama mdogoHahahaa.....hope umeamka salama ndio unelekea kuboost tena mida hii au?
Nitafikia stage hiyo ila bado jamani....Inabidi ukubaliane naye tu hivyo hivyo, maana hamna namna nyingine sasa
