Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ni kweli kabisa..
Maana hii sehemu yetu pekee ya kutambariiing hivyo wakituingilia hatutapata sehem nyngne ya kujidai tena.
Maana hapa ndio sehemu pekee ambayo tunapendana na kuchekeana & kutaniana 24/7
Tukiiharibu tutaanza kununa kila tukiona ID za wakongwe na dharau zao hapa ndani (KF)
Bora tuwafungie vioo mapema .................
 
Maana hapa ndio sehemu pekee ambayo tunapendana na kuchekeana & kutaniana 24/7
Tukiiharibu tutaanza kununa kila tukiona ID za wakongwe na dharau zao hapa bdani
Bora tuwafungie vioo mapema .................
Ni kwel maana mm nikiona Id mpya hapa naanza kuitathimini kwanza then nikiona kuwa huyu ana nia njema ndo nagonga likes
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom