Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimejisikia kuibadili coz ilitimiza mwaka nzima now nakuja kivingine
Tatizo la ile avatar ni ile kata k na mnenguo watu wanapata cha kuongea kwa hapa KF haikuwa na tatizo coz tunataniana tatizo kwenye thread zingine
...............
Umefanya jambo jema ilikuwa imekaa kihuni sana japo tuliizoea hapa nyumbani, umekuja kivingine hii iko poa sanaaa
 
IMG_20160923_215752.jpeg

Chapombe Sokomoko
.............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom