briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Nilifananisha bana, kwenye hiyo picha amefanana na jideNi yeye huyo?
Nilifananisha bana, kwenye hiyo picha amefanana na jideNi yeye huyo?
Ndo maana nakumbushia hapa KFI miss the old dyas
Hapa siko bize kivile, bali sina swaga, mara nyingine napendaga kutulia na kuwasoma wenzangu mkifanya yenu, nafurahia tu mnavyotupia vipostKwani bado upo bize kinoma?
........
Supastaa fulani hiviUko sahihi, nilimfananisha nafikiri ni yule dada mwenye mikao ya hovyo hovyo
Wewe utakuwa ndio lile pangaboi sioMakapuku tunaspeed ya ajabu kama zile Bombadier za magu![]()
![]()
![]()
hahaha umedoea kwa faida...umefanya jambo la msingi sana kutukumbushia mkuu.Ndo maana nakumbushia hapa KF
zamani kulikuwa na kademu nyumba ya jirani alikuwa hakosi majarida ya Sani,Bongo & Kingo
Nilikuwa nadoea kwake
...........
Poa mkaka za huko ulipoValentina miss you mama
Habari ya kitambo
Kumbe bombadier zina speed sana eti?Makapuku tunaspeed ya ajabu kama zile Bombadier za magu![]()
![]()
![]()
Kwa sasa sio baridi tena mkuuOk nilijua uko kwenye baridi la nje
Kesho pia daraja lazima livunjweHuku ndio kaonekana leo, baada ya daraja kuvunjwa na Liverpool
Hapo hajasukuma na virobaSokomoko nux sana
Ndo ivohahaha umedoea kwa faida...umefanya jambo la msingi sana kutukumbushia mkuu.
Kwani huoni kama wako machoMsiniambie tu mmelala sahizi
Upo sahihi kuna watu hupost tu ilimradi.....mi mwenyewe samtaimu nakaaga pembeni japo nasomasoma tuHapa siko bize kivile, bali sina swaga, mara nyingine napendaga kutulia na kuwasoma wenzangu mkifanya yenu, nafurahia tu mnavyotupia vipost
HujamuelewaKumbe bombadier zina speed sana eti?
Kesho pia daraja lazima livunjwe
Mimi niliona sioNilifananisha bana, kwenye hiyo picha amefanana na jide
Ndo nilitaka kushangaa kwasabu najua pangaboi haiwezi kukimbizana na jetHujamuelewa
Ametudhihaki
.......................
Anapenda sana kutembelea mabibo Beach