Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Diego mafujo
Babu lao
.......
Diego mafujo
Hamna sio kiivyo sana, nimeipata somuwea hiyoHapo umenena sawa, na ndivyo iko hivyo, inaonyesha una utaalam sana na jambo hilo
Hawa chekfix watapokea kipigo kisafi, ngoja tusubiri tuoneMchambuzi mbuzi full ushuzi
Mnazi wa The Blauziii
![]()
![]()
![]()
..........
Jamaa ni fix sana anaibuka wakishinda tuHawa chekfix watapokea kipigo kisafi, ngoja tusubiri tuone
Zee la fitna hilo, linategemea ushindi wa penalt na red card tuDiego mafujo
Babu lao
![]()
![]()
![]()
.......
Kesho nitamsaka popote pale hadi nmpateJamaa ni fix sana anaibuka wakishinda tu
![]()
![]()
![]()
........

Muda mzuri sana hiyo keshoHawa chekfix watapokea kipigo kisafi, ngoja tusubiri tuone
Amina. Bibie.Yanaenda vema...Mungu yu mwema hakika
Kwa nini anapenda sana kukukimbia? Huyo Diego mafujoUsije ukakimbia tu kesho hapa..
Maana ukishinda ndo unakuja huku unajifanya mchambuzi.
Yani kesho baada ya hiyo mechi kumalizika kama sitakuona hapa nitakuja kujutafuta mpaka kule kwenye ile thread yenu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Huku ndio kaonekana leo, baada ya daraja kuvunjwa na LiverpoolKesho nitamsaka popote pale hadi nmpate
![]()
![]()
![]()
![]()
Niaje Bitoz? yule tembo bishoo umemuacha wap ama majangili washafanya yao?Huyo Kikofia msimsikilize ni tapeli mkubwa hapa mjini msikilize
....mi naumwa pia kuna kitu kimeniweka bize si mnajua siyo kila siku lazima niwepo
Hii ni thread ya Makapuku wote
Nisipokuwepo mimi au Jimena nyie lisongesheni tu sio kupiga mi kelele
.............
Za masiku mrembo wangu??Asante Twin
Niaje Bitoz? yule tembo bishoo umemuacha wap ama majangili washafanya yao?

Ogopa sana kama unachart na Dem halafu akakwambia:- "Nikwambie kitu!??"zima simu uwashe kesho mana kinachofuta ni mzingaa
Wanaume kwanini hampendi mizinga?




Kimario The Fix Fan(KTFF)Kesho nitamsaka popote pale hadi nmpate
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndiyo zake huyoZee la fitna hilo, linategemea ushindi wa penalt na red card tu
Nakumiss sana pia shemela, njoo basi nisharudiSeriously nimemmiss Briz shem wangu jamani...anaefahamu alipo mumlete![]()

Nimejisikia kuibadili coz ilitimiza mwaka nzima now nakuja kivingineNiaje Bitoz? yule tembo bishoo umemuacha wap ama majangili washafanya yao?