Jamani karibu shem...where have u been?Nakumiss sana pia shemela, njoo basi nisharudi [emoji12]
[emoji3][emoji3][emoji3]sawa njoo hata kule sio mbaya utanikuta humo ila nitakuepo hapa jamviniUsije ukakimbia tu kesho hapa..
Maana ukishinda ndo unakuja huku unajifanya mchambuzi.
Yani kesho baada ya hiyo mechi kumalizika kama sitakuona hapa nitakuja kujutafuta mpaka kule kwenye ile thread yenu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niaje Bitoz? yule tembo bishoo umemuacha wap ama majangili washafanya yao?
Itakua ni hiohioSket yake nan zaid ya my sis...Himenna
Haha haya bana haina mbaya japo mi nlikua namkubali sana yule tembo alikua anawakilisha swaga za kibitozNimejisikia kuibadili coz ilitimiza mwaka nzima now nakuja kivingine
Tatizo la ile avatar ni ile kata k na mnenguo watu wanapata cha kuongea kwa hapa KF haikuwa na tatizo coz tunataniana tatizo kwenye thread zingine
...............
Yuko anawangaNdiyo kashapotea tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetisha sana mkuu, mambo ni vipi lakini?Sina swaga nawacheki kimyakimya
Acha fitina [emoji3][emoji3]Huku ndio kaonekana leo, baada ya daraja kuvunjwa na Liverpool
Tuipigie kura airudishe hiyo ya zamaniHaha haya bana haina mbaya japo mi nlikua namkubali sana yule tembo alikua anawakilisha swaga za kibitoz
Mambo vp brizHaha haya bana haina mbaya japo mi nlikua namkubali sana yule tembo alikua anawakilisha swaga za kibitoz
Arsenal ni kama poo pogba tuMuda mzuri sana hiyo kesho
Ukweli siku hizi unaitwa fitinaAcha fitina [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kura ya kupoteza imani na avatar mpyaTuipigie kura airudishe hiyo ya zamani
Ukinikosa hapa njoo kule kwenye group letuKesho nitamsaka popote pale hadi nmpate
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]