makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,979
- 104,442
Utakuwa poa tu, usiwaze boi.Nakaribia kufa
Andaeni rambirambi....nguo zote za kitoz nachoma moto
Nitakuachia yeboyebo na boxer(siyo pikipiki)
![]()
![]()
![]()
......
Utakuwa poa tu, usiwaze boi.Nakaribia kufa
Andaeni rambirambi....nguo zote za kitoz nachoma moto
Nitakuachia yeboyebo na boxer(siyo pikipiki)
![]()
![]()
![]()
......
Mmoja wapo ni weweI'll shot the tariff...... una ujumbe murua
Legalize it....unafagiliwa na wapuliza moshi dunia nzima
![]()
![]()
![]()
.........
.
Iko njema bibie. Mambo yanaenda!Nipo Emmy guy...habari
Yanaenda vema...Mungu yu mwema hakikaIko njema bibie. Mambo yanaenda!
Asante TwinKaribu tena.
DollarsKwanza unatuma sh. Ngapi?
Maana tunahitaji mchango wa kuanzia elfu 10 kuoanda juu
Ayaaa mi nimetuma!Huyo Kikofia msimsikilize ni tapeli mkubwa hapa mjini msikilize
....mi naumwa pia kuna kitu kimeniweka bize si mnajua siyo kila siku lazima niwepo
Hii ni thread ya Makapuku wote
Nisipokuwepo mimi au Jimena nyie lisongesheni tu sio kupiga mi kelele
.............





Ujambo wewe cwtpAyaaa mi nimetuma!![]()
Aminia jirani a.k.a mzee wa DolariDollars
Hajanijibu sasaAminia jirani a.k.a mzee wa Dolari
Au labda anataka PoundHajanijibu sasa
Nakuooea huruma sana doggo. LitakutesaNataka hilo hilo
![]()
![]()
![]()
![]()
Nani sasa![]()
![]()
mbona simuonii
Mtumie tuNakuooea huruma sana doggo. Litakutesa