Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Hii inawakuta wengi[emoji23]Upo kwenye chumba cha mtihani swali limekugonga ukaamua kutoa smartphone yako na kuanza ku google kisha ku copy & kupest kwny booklet.
Ghafla lecturer anatokea mara kwa uoga ukaficha calculator na kuweka simu juu ya meza.
HAPO NDIO UTAJUA SHETANI YUPO
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]