Makapuku Forum

Makapuku Forum

Zamani shuleni mwalimu anaingia darasani anauliza kama homework tumefanya, anasema kama kuna ambaye hajafanya apite mbele anaenda kuleta fimbo....akirudi anamkuta mwalimu mkuu kaingia anataja ambao hawajalipa ada ili waende nyumbani af unakuta kwenye hiyo list pia upo...

ndo unagundua Yesu ni Mwokozi.

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Bahati ya mtende[emoji23][emoji23]
 
Am online 24/7
1474637255697.png
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom