makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,979
- 104,442
Kwanini hutaki kuoga???
Kumbe huyu nae ni mkweaji maarufu, sio kukwepa kodi tu hadi kuoga..

Kwanini hutaki kuoga???

Jana alisikia kilio chakoMama yangu Jimena Jimenes ubarikiwe tumekwishapata mkate wetu wa asubuhi shwaaaari kabisa
Nawe pia mkuu mussolin, na asante kwa leo katika historiaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Bob Marley, muwe na weekend njema.
Ijumaa Kareem.
Bye!!
Oya we boya vip hali yako mgonjwa!!? Unaendeleaje!?
Ahsante sana kila la kheri..Hongera sana..
Ila post nnayoivizia kwa hamu ni hii ya [HASHTAG]#111111[/HASHTAG]
Hii nitaipambania kufa na kupona aisee
Na 111 je?Hongera sana..
Ila post nnayoivizia kwa hamu ni hii ya [HASHTAG]#111111[/HASHTAG]
Hii nitaipambania kufa na kupona aisee
1980 - Mwanamuziki Bob Marley anafanya tamasha la Rege huko Pittsburgh, ambalo baadae linakuja kujulikana kama tamasha la mwisho kabisa kuwahi kufanywa na Bob kabla ya Mauti kumkuta May 11 mwaka 1981.
Nimewazidi kivipi Papaa?........Me ni Mpale wa MwikaKumbe huyu ni mkongo?, mimi nilidhani ni mtz mwenzetu, ndiyo maana ametuzidi akili
Kale katoto si kanatoka usiku ndio maana.. Kamezoea kupaa, saa hizi anafidia usingizi wake.
hahaaaa! Target yangu imekosa umakini.Nnaitaka hii post ya 111111 bhasssNa 111 je?
1956 - Paolo Rossi anazaliwa.
Ni straika wa zamani wa Juventus na Timu ya Taifa ya Italy.
Alikiwa ni mfungaji bora Italy ilipotwaa Kombe la Dunia mwaka 1982 katika michuano iliyofanyika pale Hispania.
Kama nilivyokwambia jana kuwa mm kazi yangu ni kuhamasisha tu.Ahsante sana kila la kheri..
Ni siku ya walimu huko nchini Brunei.
This time utafanikiwa tuuKama nilivyokwambia jana kuwa mm kazi yangu ni kuhamasisha tu.
Lakini si kuitwaa
Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Bob Marley, muwe na weekend njema.
Ijumaa Kareem.
Bye!!
Nakaribia kufaOya we boya vip hali yako mgonjwa!!? Unaendeleaje!?
Nalipa mkuuHivi Mkwepa kodi ina maana hulipi kodi kabisa?
HahahahaJana alisikia kilio chako
Pamoja kakaNawe pia mkuu mussolin, na asante kwa leo katika historia
Hahahahaha mi sina kuona hahahaNimewazidi kivipi Papaa?........Me ni Mpale wa Mwika