Makapuku Forum

Makapuku Forum

View attachment 405419
a677fe1b52dafb5e8cce88d79612202f.jpg

"I will shot the tariff"
"Legalize It"
.............
..........
gud
 
Upo kwenye chumba cha mtihani swali limekugonga ukaamua kutoa smartphone yako na kuanza ku google kisha ku copy & kupest kwny booklet.
Ghafla lecturer anatokea mara kwa uoga ukaficha calculator na kuweka simu juu ya meza.

HAPO NDIO UTAJUA SHETANI YUPO
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Unafungua calculator ya kwenye simu faster, tena siku hizi kuna scientific calculator kwenye simu
 
Back
Top Bottom