shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Morning, habari za mai maiMorning Shululu
Morning, habari za mai maiMorning Shululu
[emoji15] Kabila anataka kuendelea kukaa mu Ikulu, na Congolese hawatakyi!!!Morning, habari za mai mai
Kuna shida sana huu ukanda wetu wa Africa na ndio maana hata hakuna maendeleo[emoji15] Kabila anataka kuendelea kukaa mu Ikulu, na Congolese hawakyi!!!
Inafika.. Y isifike mkuuHii 110k itafika kweli kwa mwendo huu?
Mbona bado vijipost kadhaa tu.. Ngoja waje hapa.. Utaona balaa lake.. Ila naona hizi ni rekod ndogo ndogo watu wanataka kubwa kubwa..Hii 110k itafika kweli kwa mwendo huu?
Kale katoto si kanatoka usiku ndio maana.. Kamezoea kupaa, saa hizi anafidia usingizi wake.Cha ajabu bado kalala
Tabora nzur tu, sijui huko jiraniMorning jirani, habari za Tabora
Vip shemejio hajambo!?Morning jirani, habari za Tabora
Katoto kapi hako?Kale katoto si kanatoka usiku ndio maana.. Kamezoea kupaa, saa hizi anafidia usingizi wake.
Ka"jonax" hako...Katoto kapi hako?
Ni uroho tu wala hakuna cha zaidiKiongozi alie madarakani anaona hamna anaeweza kuongoza zaidi yake
Ngoja tujitahidi hivyohivyoNsekwa bado post kama 13 tu hv.. Jiite idd.
Kale kakijana kadogo ila mkofia huo.Katoto kapi hako?
Ndio tatzo la watu weusi[emoji15] Kabila anataka kuendelea kukaa mu Ikulu, na Congolese hawatakyi!!!
Uchu wa madaraka[emoji15] Kabila anataka kuendelea kukaa mu Ikulu, na Congolese hawatakyi!!!
SijakaelewaKale kakijana kadogo ila mkofia huo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]