Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Kafie mbele ya safari.. We mtafuna kungu..[emoji23] [emoji23]
Nawe pia boi
Sawa Batman wa Makapuku
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Kafie mbele ya safari.. We mtafuna kungu..[emoji23] [emoji23]
Nawe pia boi
Teh! Teh!
Vp umeicheki ile movie
Sipo fresh km nilivyokwambiaVp umeicheki ile movie
Kwann tusimwitee??Ila mama yetu Jimena tusimwite Kapuku
Asante sana MkuuThread haifutiki /post ya kwanza unachoweza kufanya ni kuedit kwa kuyaondoa maneno yote isipokuwa uweke herufi 1 tu(can't be empty)
Post zingine zote una uwezo wa kudelete kwa kutumia option ya DELETE
.............
Nawe piaaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa siku 100 zilizobaki, niwatakie siku njema.
Vp siku hizi unakuja usiku kama bundi, kulikoni?Nawe piaa
[emoji23] [emoji23] majukumu yananibana.....sema mda sio mrefu tutakuwa wotee.....kuusogeza uzi wehuuVp siku hizi unakuja usiku kama bundi, kulikoni?
Hao yanga wakafie mbeleYANGA BWANA
*ETI MAJARIBIO YA NDEGE MPYA WAPANDE TIMU YA SIMBA SABABU MUDA MREFU HAWAJAPANDA*
Yuko vizuri
Kumbe anatafuna kungu[emoji15] [emoji15]Kafie mbele ya safari.. We mtafuna kungu..[emoji23] [emoji23]
Nawe pia boi
[emoji15] [emoji15] leo unamkataaAcha kujipendekeza Mimi sio ndugu yako
sihitaji pole yako
USIKU MWEMA
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
..............
Kwani kuna wanyaki wa wapi na wapi???Pole sana mnyaki wa mabibo beach
Wacha zikimbieeKwa mwendo kasi
Wanyaki wa mbeyaKwani kuna wanyaki wa wapi na wapi???
Umeenda hospital......poleeNaumwa kweli
Tangu asubuhi
Lakini ngojeni niwaletee Komredi Kipepe zen nalala
.........
.........
Sasa huyo wa mabibo vipi[emoji15] [emoji15]Wanyaki wa mbeya
MmmmhUmependeza na hiyo Cap Makaveli...